Mh. KIGWANGALA AHADI YAKO YA ALBADILI KWA WALIOMTESA ULIMBOKA IMEFIKIA WAPI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. KIGWANGALA AHADI YAKO YA ALBADILI KWA WALIOMTESA ULIMBOKA IMEFIKIA WAPI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by richone, Jul 10, 2012.

 1. r

  richone Senior Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh. KIGWANGALA AHADI YAKO YA ALBADILI KWA WALIOMTESA ULIMBOKA IMEFIKIA WAPI?naomba unijulishe natamani sana hili lifanyiwe kazi naomba majibu tafadhali,tuwaunge mkono madaktari ili waishinde vita hii.
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ukiona taifa linategemea albadili ujue tuna kiza kinene
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  alfu lela ulela
   
 4. m

  mazakwela Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unanikumbusha enzi za sheikh yahaya alivyoahidi kumlinda rais! hatuwezi kusurvive kwa mwendo huo, hao lazima wapatikane kitaalamu!
   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,046
  Likes Received: 1,177
  Trophy Points: 280
  ...hahahahahahaha...mwisho wa siku..mungu akamchukua...
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Atakua ameonywa maana anaweza kusoma hiyo kitu ikamgusa mpaka na bosi wake. Mkashangaa tuna msiba wa taifa
   
 7. M

  Mimi. JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Kama kuna mchango wa kusoma albadili naomba nijuzwe
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwenye ile albadil ilikuwa mpaka mkuu wa Kaya na PM wake wangeenda na maji naona wameamua kumtuliza huyo Kigwangala
   
 9. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  kwani hujasikia jamaa walipata ajali SA?
   
 10. l

  leamashina Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya kusoma albadili, Mungu aliyemlinda katika msitu wa mabwepande asidhurike na chochote atawapa waliomtesa daktari halali yao. Laana hii itakwenda zaidi ya kizazi cha nne. Mungu amponyeshe Ulimboka, Damu iliyomwagika haikumwagika bure. waliomtesa hawapati usingizi sasa kwani wanajulikana wote, majina yao yameandikwa kitabuni kwa bwana wetu.
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  richone

  8th July 2012 23:02
  #1 [​IMG]

  [​IMG]MemberArray


  Join Date : 3rd April 2012
  Posts : 49
  Rep Power : 324
  Likes Received9
  Likes Given3


  [h=2][​IMG] Mh. KIGWANGALA AHADI YAKO YA ALBADILI KWA WALIOMTESA ULIMBOKA IMEFIKIA WAPI?[/h]
  nakumbuka mh.mbunge Hasan Kigwangala alisema waliomsulubu kigwangala watasomewa albadil naomba uje utuambie zoezi hilo limefikia wapi je mkakati huo bado upo. naomba majibu. upande wangu nakuomba hilo lifanyike pia kama halijafanikiwa ili iwe fundisho kwa wengine. ahsante.​


  • [​Habari yako bado ipo ilihamishiwa kwenye habari mchanganyiko na MODS Jaribu kufuatilia kwa kutumia search engine]


   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  richone

  8th July 2012 23:02
  #1 [​IMG]

  [​IMG]MemberArray


  Join Date : 3rd April 2012
  Posts : 49
  Rep Power : 324
  Likes Received9
  Likes Given3


  [h=2][​IMG] Mh. KIGWANGALA AHADI YAKO YA ALBADILI KWA WALIOMTESA ULIMBOKA IMEFIKIA WAPI?[/h]
  nakumbuka mh.mbunge Hasan Kigwangala alisema waliomsulubu kigwangala watasomewa albadil naomba uje utuambie zoezi hilo limefikia wapi je mkakati huo bado upo. naomba majibu. upande wangu nakuomba hilo lifanyike pia kama halijafanikiwa ili iwe fundisho kwa wengine. ahsante.​

  [Hii ni Mara ya PILI habari yako ya kwanza iko kwenye habari mchanganyiko mods wameihamisha jaribu kufuatilia
  HOJA zako kabla ya kuanza mpya kwa kutumia search engine]
   
Loading...