MHE. Joseph Selasini Amvaa Mwigulu Nchemba!! Asema yeye si Msemaji wake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MHE. Joseph Selasini Amvaa Mwigulu Nchemba!! Asema yeye si Msemaji wake.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Jul 9, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA NA MH.MWIGULU NCHEMBA JUU YANGU NA CHAMA CHANGU.
  Ndugu zangu kwanza nachukua nafasi hii kuendelea kumshukuru Mungu kwa afya njema anayoendelea kunijalia mimi na Mke wangu hapa Hospitali ya KCMC. Pia niwashukuru wote walionifariji/wanaoendelea kunifariji katika kipindi chote cha matatizo yaliyotokea.

  UTANGULIZI.
  Itakumbukwa kuwa tarehe 28/05/2012 nilipata mbaya ya gari. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Boma karibu na chuo cha VETA. Watu wa kwanza kufika kwenye Eneo la ajali na kutupa msaada walikuwa ni Askari Polisi waliokuwa Doria karibu na eneo lile na Raia waliofika wa pia walikuwemo MWENYEKITI WA CHADEMA (W) YA HAI pamoja na MWENYEKITI WA BAVICHA (W) YA HAI. Walisaidiana na Polisi kuchukua majeruhi (Mimi nikiwemo) pamoja na marehemu waliofariki pale hadi Hospitalini.

  Baada ya kufika hospitalini pia walifika MHE.MEYA WA MANISPAA YA MOSHI (AMBAYE PIA NI DIWANI WA CHADEMA) akiongozana na baadhi ya VIONGOZI WA CHADEMA WA KATA YAKE NA BAADHI YA MAENEO YA MOSHI MJINI.. Baadaye alifika KATIBU WA CHADEMA MKOA WA KILIMANJARO AKIONGOZANA NA BAADHI YA MADIWANI WA CHADEMA WA MOSHI NA ARUSHA na Viongozi wengine ambapo nakumbuka walitokea Wilaya ya Mwanga kwenye Mikutano ya Hadhara.

  Tulikuwa wote hadi tunapatiwa huduma na majeruhi tukapelekwa Wodini. Siku iliyofuata nilipokea Simu kutoka kwa MHE. FREEMAN MBOWE (MWENYEKITI WA CHADEMA NA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI) akiwa Mtwara kwa shughuli za Chama akinipa Pole kwa yaliyotokea na kunifariji.

  Baadaye hali yangu ilipoimarika kidogo tukapanga taratibu za mazishi ya Marehemu Mama yangu Mzazi (R.I.P) na miongoni mwa watu waliohudhuria kwanza ni WANACHAMA WA CHADEMA, MADIWANI WOTE WA CHADEMA ARUSHA, MADIWANI WA MOSHI MJINI NA MOSHI VIJIJINI. Kutoka makao makuu ya CHADEMA waliwakilishwa na Mhe.Rwakatare na Ndg. Anthony Komu (Mkurugenzi wa Fedha na Utawala).

  Pia walihudhuria Baadhi ya WWABUNGE WA CHADEMA wakieleza sababu za viongozi na wabunge wengine kutokuhudhuria (Na zilikuwa Sababu za Msingi kabisa) kwa sababu hata baadhi ya viongozi wa serikali waliohudhuria walileta salam za wakubwa wao ambao nao walitamani kuhudhuria lakini kutokana na sababu mbali mbali walishindwa!..

  Pamoja na hayo,MHAMA JOSEPHINE MUSHUMBUSI (MKE WA MHE.KATIBU MKUU WA CHADEMA) alinitembelea hospitalini akiwa na wajumbe kadhaa... Aliniletea salam za pole kutoka kwa KATIBU WANGU MKUU WA CHAMA. Nilifarijika sana kuona kuwa kiongozi wangu pamoja na kuwepo kwake safarini kikazi lakini bado aliweza kutuma ujumbe kwangu..

  Baadaye nilihamishiwa MOI (Muhimbili) kwa ajili ya matibabu Zaidi. Nakumbuka walifika wabunge wengi sana wa CHADEMA lakini kubwa zaidi alifika MHE.FREEMAN MBOWE (MWENYEKITI WA CHADEMA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI).

  KANUSHO.
  Nimekuwa nikisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mwigulu Nchemba (Mb-CCM) Anatangaza kuwa Chama changu kimenitupa na hakina msaada wala Ushirikiano na mimi kwenye Matatizo yaliyojitokeza..
  Kwanza: Sijawahi kumwajiri Mwigulu Nchemba kuwa msemaji wangu!.

  Pili: Mwigulu Nchemba si mkweli na hajui chochote kuhusu mimi wala CHADEMA.

  Tatu: Mwigulu Nchemba anataka nionekane sina shukrani kwa viongozi na Chama changu kwa Umoja na Ushirikiano wanaoendelea kunipatia hata sasa.

  Nne: Viongozi wangu wanafuatilia kwa karibu sana matibabu yangu na Mke wangu.

  MWISHO:
  Naomba Mwigulu aelewe kuwa sitaki malumbano yasiyo na Tija kwangu wala kwa Wananchi wangu Walionichagua. Pia nisingependa kumtaja Marehemu Mama Yangu (R.I.P) kabla hata ya Arobaini. Zaidi ya yote akumbuke kuwa Viongozi na Wabunge wa CHADEMA wana mambo mengi ya kufanya na hawatakuwa tayari tena kujibu uongo na uzushi DHAIFU kama aliouzusha!!.

  Ahsanteni Sana,
  Mungu aendelee kuwabariki.
  Joseph Selasini
  (Mb) Rombo-CHADEMA.
   
 2. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,179
  Likes Received: 1,260
  Trophy Points: 280
  POLE Mkuu: usijali tabia za wagoni tabia namba moja ni uwongo!! Jamani likitajwa jina la Mwi-nyi-Gulu epusheni wake zenu kama bado wapo kwenye chati!! Jamaa ni kiwembe tosha!!!
   
 3. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kwi, kwi, kwi, yanaumbuka kila kkukicha! magamba bwana, wambea utasema wote chimbuko lao ni TOT! pathetic!
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Kama hili andiko ni la mbunge, basi tuna safari ndefu sana.
   
 5. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Achana na mfumaniwa,tunamfaham.NAKUOMBEA UPONE MAPEMA,TUENDELEE NA SAFARI YA UKOMBOZI.
   
 6. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ukipona ukifika Bungeni naomba umkumbushie huyu m** alipata wapi hizo taarifa na ikiwezekana afute kauli..
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Sijui Kama atakuelewa Mwigulu Nchemba kwa sasa ni janga la kitaifa ukiona kijana anaishi kwa uongo ujuwe kichwani kumebaki maji tuu
   
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​kuna wanyama wa porini wawili sijawasikia humu zombz nz ritz kanusheni hizi habari kwa niaba ya nchemba kwi...kwi..kwi ha.. ha ha
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Alah! hivi Josephine na Baby wake (DR SLAA) wamekwisha funga ndoa tayari, naona Mheshimiwa anamrefer kama mke wa..) au anaqualify kwa mujibu wa sheria.

  Any way. Sasa Mwigulu atafute umbeya mwingine
   
 10. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  Mwigulu atajifunza lini kuwa mstaarabu na kuacha upayukaji!!??
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,892
  Trophy Points: 280
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA NA MH.MWIGULU NCHEMBA JUU YANGU NA CHAMA CHANGU.
  Ndugu zangu kwanza nachukua nafasi hii kuendelea kumshukuru Mungu kwa afya njema anayoendelea kunijalia mimi na Mke wangu hapa Hospitali ya KCMC. Pia niwashukuru wote walionifariji/wanaoendelea kunifariji katika kipindi chote cha matatizo yaliyotokea.

  UTANGULIZI.
  Itakumbukwa kuwa tarehe 28/05/2012 nilipata mbaya ya gari. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Boma karibu na chuo cha VETA. Watu wa kwanza kufika kwenye Eneo la ajali na kutupa msaada walikuwa ni Askari Polisi waliokuwa Doria karibu na eneo lile na Raia waliofika wa pia walikuwemo MWENYEKITI WA CHADEMA (W) YA HAI pamoja na MWENYEKITI WA BAVICHA (W) YA HAI. Walisaidiana na Polisi kuchukua majeruhi (Mimi nikiwemo) pamoja na marehemu waliofariki pale hadi Hospitalini.
  Baada ya kufika hospitalini pia walifika MHE.MEYA WA MANISPAA YA MOSHI (AMBAYE PIA NI DIWANI WA CHADEMA) akiongozana na baadhi ya VIONGOZI WA CHADEMA WA KATA YAKE NA BAADHI YA MAENEO YA MOSHI MJINI.. Baadaye alifika KATIBU WA CHADEMA MKOA WA KILIMANJARO AKIONGOZANA NA BAADHI YA MADIWANI WA CHADEMA WA MOSHI NA ARUSHA na Viongozi wengine ambapo nakumbuka walitokea Wilaya ya Mwanga kwenye Mikutano ya Hadhara. Tulikuwa wote hadi tunapatiwa huduma na majeruhi tukapelekwa Wodini. Siku iliyofuata nilipokea Simu kutoka kwa MHE. FREEMAN MBOWE (MWENYEKITI WA CHADEMA NA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI) akiwa Mtwara kwa shughuli za Chama akinipa Pole kwa yaliyotokea na kunifariji.
  Baadaye hali yangu ilipoimarika kidogo tukapanga taratibu za mazishi ya Marehemu Mama yangu Mzazi (R.I.P) na miongoni mwa watu waliohudhuria kwanza ni WANACHAMA WA CHADEMA, MADIWANI WOTE WA CHADEMA ARUSHA, MADIWANI WA MOSHI MJINI NA MOSHI VIJIJINI. Kutoka makao makuu ya CHADEMA waliwakilishwa na Mhe.Rwakatare na Ndg.Anthony Komu (Mkurugenzi wa Fedha na Utawala) Pia walihudhuria Baadhi ya WWABUNGE WA CHADEMA wakieleza sababu za viongozi na wabunge wengine kutokuhudhuria (Na zilikuwa Sababu za Msingi kabisa) kwa sababu hata baadhi ya viongozi wa serikali waliohudhuria walileta salam za wakubwa wao ambao nao walitamani kuhudhuria lakini kutokana na sababu mbali mbali walishindwa!..
  Pamoja na hayo,MHAMA JOSEPHINE MUSHUMBUSI (MKE WA MHE.KATIBU MKUU WA CHADEMA) alinitembelea hospitalini akiwa na wajumbe kadhaa... Aliniletea salam za pole TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA NA MH.MWIGULU NCHEMBA JUU YANGU NA CHAMA CHANGU.
  Ndugu zangu kwanza nachukua nafasi hii kuendelea kumshukuru Mungu kwa afya njema anayoendelea kunijalia mimi na Mke wangu hapa Hospitali ya KCMC. Pia niwashukuru wote walionifariji/wanaoendelea kunifariji katika kipindi chote cha matatizo yaliyotokea.

  UTANGULIZI.
  Itakumbukwa kuwa tarehe 28/05/2012 nilipata mbaya ya gari. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Boma karibu na chuo cha VETA. Watu wa kwanza kufika kwenye Eneo la ajali na kutupa msaada walikuwa ni Askari Polisi waliokuwa Doria karibu na eneo lile na Raia waliofika wa pia walikuwemo MWENYEKITI WA CHADEMA (W) YA HAI pamoja na MWENYEKITI WA BAVICHA (W) YA HAI. Walisaidiana na Polisi kuchukua majeruhi (Mimi nikiwemo) pamoja na marehemu waliofariki pale hadi Hospitalini.
  Baada ya kufika hospitalini pia walifika MHE.MEYA WA MANISPAA YA MOSHI (AMBAYE PIA NI DIWANI WA CHADEMA) akiongozana na baadhi ya VIONGOZI WA CHADEMA WA KATA YAKE NA BAADHI YA MAENEO YA MOSHI MJINI.. Baadaye alifika KATIBU WA CHADEMA MKOA WA KILIMANJARO AKIONGOZANA NA BAADHI YA MADIWANI WA CHADEMA WA MOSHI NA ARUSHA na Viongozi wengine ambapo nakumbuka walitokea Wilaya ya Mwanga kwenye Mikutano ya Hadhara. Tulikuwa wote hadi tunapatiwa huduma na majeruhi tukapelekwa Wodini. Siku iliyofuata nilipokea Simu kutoka kwa MHE. FREEMAN MBOWE (MWENYEKITI WA CHADEMA NA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI) akiwa Mtwara kwa shughuli za Chama akinipa Pole kwa yaliyotokea na kunifariji.
  Baadaye hali yangu ilipoimarika kidogo tukapanga taratibu za mazishi ya Marehemu Mama yangu Mzazi (R.I.P) na miongoni mwa watu waliohudhuria kwanza ni WANACHAMA WA CHADEMA, MADIWANI WOTE WA CHADEMA ARUSHA, MADIWANI WA MOSHI MJINI NA MOSHI VIJIJINI. Kutoka makao makuu ya CHADEMA waliwakilishwa na Mhe.Rwakatare na Ndg.Anthony Komu (Mkurugenzi wa Fedha na Utawala) Pia walihudhuria Baadhi ya WWABUNGE WA CHADEMA wakieleza sababu za viongozi na wabunge wengine kutokuhudhuria (Na zilikuwa Sababu za Msingi kabisa) kwa sababu hata baadhi ya viongozi wa serikali waliohudhuria walileta salam za wakubwa wao ambao nao walitamani kuhudhuria lakini kutokana na sababu mbali mbali walishindwa!..
  Pamoja na hayo,MHAMA JOSEPHINE MUSHUMBUSI (MKE WA MHE.KATIBU MKUU WA CHADEMA) alinitembelea hospitalini akiwa na wajumbe kadhaa... Aliniletea salam za pole kutoka kwa KATIBU WANGU MKUU WA CHAMA. Nilifarijika sana kuona kuwa kiongozi wangu pamoja na kuwepo kwake safarini kikazi lakini bado aliweza kutuma ujumbe kwangu..
  Baadaye nilihamishiwa MOI (Muhimbili) kwa ajili ya matibabu Zaidi. Nakumbuka walifika wabunge wengi sana wa CHADEMA lakini kubwa zaidi alifika MHE.FREEMAN MBOWE (MWENYEKITI WA CHADEMA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI).

  KANUSHO.
  Nimekuwa nikisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mwigulu Nchemba (Mb-CCM) Anatangaza kuwa Chama changu kimenitupa na hakina msaada wala Ushirikiano na mimi kwenye Matatizo yaliyojitokeza..
  Kwanza: Sijawahi kumwajiri Mwigulu Nchemba kuwa msemaji wangu!.
  Pili: Mwigulu Nchemba si mkweli na hajui chochote kuhusu mimi wala CHADEMA.
  Tatu: Mwigulu Nchemba anataka nionekane sina shukrani kwa viongozi na Chama changu kwa Umoja na Ushirikiano wanaoendelea kunipatia hata sasa.
  Nne: Viongozi wangu wanafuatilia kwa karibu sana matibabu yangu na Mke wangu.

  MWISHO:
  Naomba Mwigulu aelewe kuwa sitaki malumbano yasiyo na Tija kwangu wala kwa Wananchi wangu Walionichagua. Pia nisingependa kumtaja Marehemu Mama Yangu (R.I.P) kabla hata ya Arobaini. Zaidi ya yote akumbuke kuwa Viongozi na Wabunge wa CHADEMA wana mambo mengi ya kufanya na hawatakuwa tayari tena kujibu uongo na uzushi DHAIFU kama aliouzusha!!.
  Ahsanteni Sana,
  Mungu aendelee kuwabariki.
  Joseph Selasini
  (Mb) Rombo-CHADEMA.
   
 12. kilamfua

  kilamfua Senior Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  pole sana mhs selasini, huyu mwigulu mchemba kachanganyikiwa na antaka umaarufu wa kirahisi ni mpuuzi na kila mtu anamjua kazi yake kutembea na wake za watu. namshauri akuonbe msamaha kwani yeye si msemaji wako.
   
 13. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya Domokaya lingine la Magamba, Mwigulu Nchemba, a.k.a Mzee wa wizi wa pesa za EPA kaumbuka live mchana kweupe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Kuna mke wa jamaa huku kwetu wamepigika sana na wanashida kweli na hela nimemwambia kwamba Mwigulu yupo, kwani hivi ndio viporo vyake jamaa.
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Mwigulu ana umwa kichwa!
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Get well soon! Hata mimi nilikupa pole kwenye facebook page na hapa jF
   
 16. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Mmmh mtu mzima kushushuliwa hadharani kama hivi mbona ni AIBU.
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Mwigulu akizeeka atakuwa mchawi
   
 18. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Pole jembe letu,,mungu akupa nguvu,Mwigulu chemba la choo bange zimemzidia sasa kawa punguani mwendawazimu karibu ataanza kwenda uchi
   
 19. i

  ibange JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimelipenda neno "mbwatukaji"
   
 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675

Loading...