The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jul 9, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Hello people!
  Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
  Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
  Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
  najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
  Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

  update follow shortly

   
 2. by default

  by default JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Picha lingine la kichina linaanza
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,027
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  kwa vigezo gani???..
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  yale yaleeee...
   
 5. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  daah hii movie inaonekana nzuri
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,803
  Likes Received: 778
  Trophy Points: 280
  muulize kapteni JACK ZOKA, huyu mtu ni hatari sana
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Ipo wazi,TISS 75% wanafanya kazi na Lowassa
   
 8. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,785
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Nashawishika kukuamini kutokana na ninavyomjua Lowassa ngoja tusubiri
   
 9. E

  Eric Mallo Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe naona bado umelala....amka kumekucha
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  watanzania wote waelewe kwa sasa hivi Lowassa ndiye Rais ajaye na wasiwasi wake upo zaidi kwa chadema kuliko kambi tofauti ndani ya ccm
   
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  haya bana
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,553
  Likes Received: 9,299
  Trophy Points: 280
  ukimtaja lowasa unakuwa umegusa kunako...JK IS VERY SOFT to deal with heavy issues...

  ila mwisho wa siku MAGAMBA NI MAGAMBA TUUUU
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,660
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Kwa maana hiyo kama Kikwete anasaidiwa na Lowasa kuongoza Nchi lazima atakuwa ni Dhaifu
   
 14. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,881
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Movie ndiyo limeanza hivyo. Wahusika endeleeni na kumwaga mambo humu sisi tupande uhondo.
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Mbona Kikwete aliwatuma kwenda kwa Lowasa kumzuia asizungumzia mambo ya Richmond alipo waita waandishi wa habari Monduli miezi michache iliopita kama alikuwa na nguvu kuliko kikwete ilikuwaje waka mpiga stop...je unataka tuamini TISS ni watiifu kwa Lowasa kuliko Kikwete.....
   
 16. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 502
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mh!!!!ndugu yangu nini tena hapa!!!!!!ulichokiweka wazi hapa ni kukiri kuwepo kwa mambo hayo na kututajia muhusika!!tusaidie basi kwa kutupa taharifa za kina!!!!!ili tukupate sawasawa!!!!
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Weka part II
   
 18. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mmh! haya sasa makubwa! ngoja nivae miwani yangu kwanza....halooo Mamito hebu lete hiyo miwani yangu
  niingie kwenye mnakasha ungine hapa
   
 19. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,027
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  hata wewe unaweza kufanya nao kazi..kwahiyo ukishiri9kiana nao kwa namna yoyote ile basi unaongoza nchi sindio??
   
 20. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mkuu nani atampa kura ?????????????sisi wananchi tena au na ninini kimedhihirisha haya yote???????????????
   
Loading...