Shahidi namba moja kuwa mawaziri wa CCM ni mafisadi ni Rais Kikwete

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Bwana Nyimbo alikuwa anahutubia mamia ya wananchi wa kijiji cha Nyololo Njia panda, mwezi mmoja uliopita na kueleza kuwa Shahidi namba moja kuwa mawaziri wa Tanzania ni mafisadi na wezi ni Rais Kikwete. Akifafanua alisema ndiyo maana baada ya kutuhumiwa kuwa mafisadi na wameshindwa kazi aliamua kutangaza baraza jipya huku akiweengua baadhi ya waliokuwa wanatuhumiwa. Huo ni ushahidi tosha kuwa mawaziri hao ni mafisadi.
 
Back
Top Bottom