Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna tatzo ninalo pata hpa.....!!!!! Ni kwann CDM haina TV Channel yke jst lyk CCM na TBC. Au kuna vizuizi kwenye swala hlo? Nawakilisha.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo katika kipinsi cha maswali na majibu Mbunge wa Nkenge Asumpta Mshama na Mery Mwanjelwa (CCM), wameitaka Serikali itoe Maelezo kwa nini haijafungua Ubalozi nchini Israel kwani kutofanya hivyo...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Na Jabir Idrissa; MwanaHalisi UBALOZI wa Libya jijini Dar es Salaam umekana mahusiano yoyote na kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) na mshirika wao Massoud Mohamed Nassr. Hatua hii...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Dk. Asha-Rose Migiro Wakati Dk. Asha-Rose Migiro, anarejea leo nchini baada ya kumaliza muhula wake katika nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), amesema nafasi hiyo imempatia...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Huyu ndiye Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai inchini anaitwa Cp.Robert Manumba,Anaeleza kuwa Dr.Mwakyembe hakupewa sumu,mh.Sitta akasisitiza lakini wapi!!! Vilikutwa vinasa sauti kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lile zoezi la Uhakiki Wanachama kwa chama cha ADC linaendelea vyema na kwa mafanikio. Zoezi Hilo lilianza mkoani Tanga jumapili ya tar.08-07-2012 likifunguliwa rasmi na msajili WA vyama vya Siasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni nyuzi yangu ya pili kuhusu hili. Nakubaliana kuwa Rukwa imekuwa nyuma lkn kuisogeza sio kwa speed hii Mh. Pinda. Leo kwenye kupitisha bajeti ya maji kama mtakumbuka Mbunge wa Namanyere...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMABaraza la Madaktari Tanganyika limepokea malalamiko kutoka kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwamba, baadhi ya Madaktari waliopata usajili wa muda ili...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
haya machali analianzisha tena. live tbc.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hatua iliyochukuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Anne Makinda mwishoni mwa wiki hii ya kuwadhibiti baadhi ya wabunge ambao wameonyesha utoro wa kutokuhudhuria vikao vya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa ubomoaji wa majumba ya kifahari kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi,Dar es Salaam inavuta hisia za wengi.Wengine tunafuatilia tukishangaa namna wahuni wachache wa nchi hii...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
viongozi wanasahau mambo ya maana, mfumuko huu wa bei, migomo kudai mishahara mikubwa haitaisha kamwe..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni muda muafaka sasa. Ni muda wa Wabunge wote wa CHADEMA na vyama vingine wanaoagizwa kupeleka ushahidi dhidi ya tuhuma mbalimbali wanazotoa Bungeni kutupa,kama JF,nakala ya ushahidi wao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika kutafakari utendaji na ufanisi wa uongozi wa Rais JK katika kipindi cha kwanza na pia kuelekea kpindi cha awamu ya pili ni wazi kuwa kasi ya utendaji wa Rais JK ilikuwa ya kiwango cha chini...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa kuwa serikali yetu kwa asilimia kubwa inategemea sigara na pombe kwenye bajeti ya kuendeshea nchi na bado kuna matangazo wanayotokea kila siku kwenye vyombo vya habari kuwa matumizi ya hvyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nafuatiliaga sana kipindi cha maisha ni nyumba, kwa mtazamo wangu waendeshaji wa kipindi cha maisha ni nyumba cha NHC akina Eprem kibonde wanakula fedha za bure tu , kwa sababu shirika la nyumba...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa masikitiko makubwa naomba kuungana na madaktari waliofukuzwa kulaani baadhi ya viongozi wa serikali /serikali ambao/ambayo kwao migomo na utafutaji wa haki za msingi ni dhambi au kosa la...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Hivi kwanini siasa imeeneza chuki hadi kwenye vyuo na sehemu nyengine nchini?........
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Tamko toka ikulu Katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema. Huku akihoji...
0 Reactions
116 Replies
9K Views
Back
Top Bottom