Matukio ya mauaji ya kisiasa ni serikali ya JK kushindwa kuongoza nchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matukio ya mauaji ya kisiasa ni serikali ya JK kushindwa kuongoza nchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by why, Jul 10, 2012.

 1. w

  why JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HUYU ZOKA NDIE ANAIHARIBU NCHI KWA KUSHIRIKIANA NA KIKWETE NA NDIO MANA MIGOGORO HIWEZI ISHA MANA NCHI INAONGOZWA ZAID KIUSHIKAJI PASIPO KUFUATA MISINGI YA UONGOZO NA TARATIBU ZA KUIONGOZA NCHI KUZINGATIA TAALUMA YA USALAMA WA TAIFA NA MISINGI YA TAASISI YA RAIS.KIKUBWA KINACHOONEKANA SASA NI SERIAKALI KUAMUA KUTUMIA NGUVU KATIKA KUHAKIKISHA YALE YALIOMO NDANI YA SERIKALI MABOVU HAYASEMWI NJE MAANA YANAIVUNJIA IMANI SERIKALI KWA WANANCHI WAKE.NDUGU ZANGU WATANZANIA IKUMBUKWE NCHI ZOZOTE DUNIANI zimepata UKOMBOZI KWA WATU KUKUBALI KUWA MBEGU rejea kitabu cha (THE GRAIN OF WHEAT) hivyo tuwaombee viongozi wetu kwa kuwaunga mkono katika harakati za kupigania UKOMBOZI DHIDI YA MAFISADI.
   
 2. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tanzania itajengwa na wenye moyo wa kizalendo
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Umeharibu tu unapohukumu upande mmoja baada ya kusikia taarifa za upande mmoja.... huo ni ushabiki katika kesi ya msingi
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Unapoingiza siasa za CCM na CHADEMA katika tuhuma zenye maslahi ya taifa unaonekana ni shabiki wa kisiasa wa chama fulani badala ya kutanguliza mbele haki ya wananchi wote.....

  Hoja nzuri lakini imehukumu.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mods huyu sio wa kuachwa ni mchochezi. Fungua (ban).

  Walichosema Dk. Slaa, Mnyika , Lema na Uongozi wa chadema dhidi ya Zoka na Rais ndicho sawa?????

  Ningekuona wa maana kama usingeonyesha una upande katika kesi hii.
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Heading inatisha sana mkuu, !
  Kwa hapa itabidi waziri wetu waulinzi aachie ngazi mapema kabisa hii ni kashfa kubwa
   
 7. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani ataweza kuthibisha tuhuma za chadema kuwa ni kweli na hazitakiwi kupingwa????

  Kuleta itikadi za kisiasa katika kesi ya jinai ni kukosa uelewa
   
 8. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kashfa inapambwa na wanasiasa kulinda hadhi yao ilichanganyika na wasiwasi na hofu ambao wote hatujui kama ni kweli au si kweli.
   
 9. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaribu kuwa kati katika kesi inayohusu pande mbili zinazosigana unless una ushahidi wa kutosha na sisi tunakuomba ili tukuunge mkono.
   
 10. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu ukitumwa changanya na akili yako kidogo kuepusha sisi werevu kujua kwamba umetumwa
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hofu inatoka wapi kama si kutokuwa na imani na chombo cha usalama wa raia?
  Kama raia wanawasiwasi na maisha yao kwa kuhofia usalam, kunatatizo katika wizara ya mambo ya ndani.
  Waziri mwenye dhamana awajibike kama ameshindwa kuwahakikishia raia usalama, kwa kuachia mianya inayoleta hofu miongoni mwa raia na kukosa imani na walinzi wa raia
   
 12. a

  andrews JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pole wee bado kigoli nini?
   
 13. p

  popobawa2012 Senior Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu siombei ata kidogo tena Mungu aepushe kabisa naomba nikuulize kama mwakyembe angefarik ayo c mauaji? au kama ulimboka angefarik ayo c mauaji? kama wale wabunge wa mwanza waliovamiwa na kupigwa mbele ya polis wangefarik ayo c mauaji? mwenyekit wa CDM arumeru kuchinjwa ayo c mauaji? jaman sasa hio mada imeegemea upande m1 kwa vp? mana ata ukiacha ishu ya slaa na mnyika bado title apo juu inaexist! the guy was right jibuni hoja acheni kujipendekeza ni AIBU kama mna akili timamu au mnaweza ona mpo sahihi kama ni mazuzu!
   
 14. m

  markj JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  we kweli kipepeo!
   
Loading...