Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na kawaida ya mazoea ya baadhi ya mawaziri kuwa na mazoea ya kuleta bajeti ye nye samari bila takwiku hakiki sasa limemtokea puani Waziri wa Maji Mhe,Prof Magembe!!Wabunge wametupilia...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
GESI YENYE FUTI TRILLION TATU ZA UJAZO MASHARIKI MWA LINDI; Wapi tutakopa bilioni 26 dola? kwa ajili ya miundo mbinu? Masharti ni yapi ya mkopo? Kampuni ya gani inatufaa ambayo ina uzoefu na...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Mwigulu Nchemba (CCM, Iramba Magharibi) "Nimeuza VX langu ili kuchimba visima Iramba." "Wanawake wanatoka saa mbili usiku kwenda kuchota maji, wanarudi saa kumi, ili kukwepa joto."...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bado tuna vitendawili vingi havijateguliwa,lakini bado tunaendelea kutegwa,ni lini sasa tutapata majibu angalau robo tatu ya maswli tuliyokwishauliza kabla ya kuendelea na hii muvi mpya ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa nchi masikini kama Tanzania ukubwa wa serikali ni tatizo kubwa sana kwa maendeleo. Kitu kimoja ambacho watu wengi hawaelewi ni kwamba tunaposema ukubwa wa serikali hatuna maana ya ukubwa wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilivutiwa sana jana nilipomuona waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani - Jeshi la polisi na mengineyo akitangazia umma tishio la watu kuuwawa tena viongozi wa kitaifa huku akicheka cheka na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ITAKUMBUKWA kuwa alipofariki marehemu Sylvester Rwegasira Viongozi wa Nchi walitoa ushirikiano mzuri sana, mpaka watu wakawaona viongozi hawa kuwa na utu na heshima kwa raia wanaowaongoza...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Ulipoteuliwa tu katika nafasi uliyonayo, ulianza kwa mkwara mzito, ukijidai eti unataka kukirudishia "mvuto" chama uliopotea miongoni mwa jamii (sijui ni nani aliyekwambia kama CCM wamapoteza...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
:hat:CHAGUZI MBALILI ZIMEZIDI KUSHIKA KASI NDANI YA CHAMA PINZANI CHA CCM 2015,,AWAMU HII KAMA INAVYOFAHAMIKA CCM WANAENDELEA KUPANGA SAFU YA VIONGOZI WA NGAZI ZA CHINI KAMA VILE WENYEVITI WA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
said kubenea kumwagiwa tindikali ulimboka kteswa na kupigwa dr slaa kuwekewa vinasa sauti chini ya kitanda kuwapiga mapanga wabunge wa chadema ​usalama wa taifa chini ya raisi kikwete...
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Dk. Steven Ulimboka na Irene Mark BAADA ya kutekwa, kupigwa na kutelekezwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, viongozi wa vyama vya madaktari wamedai...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa mwaka 2011 Mh.Mwakyembe alikaririwa na vyombo vya habari akisema kuna watu wanataka kumuua. Lakini hakuishia alimtaja na Dr. Slaa kama miongoni mwa watu wachache ambao walikuwa...
1 Reactions
1 Replies
883 Views
Kama Kweli Serikali imetenga hizo hela ili kuajiri madaktari wapya wa nje kutokana na mgomo unaoendelea, hii itamaanisha, 1. Serikali inataka kuwakomoa madaktari kwa kuwanyima billioni 21 lakini...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge wa viti maalum CCM, amesema bungeni kuwa Polisi mkoa Mara wanahusika na kumuuwa kijana Chacha ambaye anatuhumiwa kwa wizi wa kuku.
4 Reactions
31 Replies
3K Views
HII HABARI NILIYOISOMA KWENYE GAZETI LA GLOBAL NAONA IMEKAA KISIASA ZAIDI NA INAJARIBU KUUHADAA UMMA KWAMBA YALIYOMPATA DR. NI KIKUNDI BINAFSI KINACHOFANYA KAZI NA KITAENDELEA KWA WENGINE. HABARI...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni takribani wiki mbili hadi tatu zimepita toka kiongozi wa chama cha madaktari nchini Dr. Stephen Ulimboka aliposhambuliwa na watu wasiojulikana ambao walimpiga nusura kumuua. Watu wote wenye...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Ndugu wazalendo naomba tuambiane wabunge ambao hawapo bungeni nao huwa wanalipwa posho?
0 Reactions
1 Replies
832 Views
MGOMO mkubwa wa wamiliki wa mabasi jana uliathiri huduma za usafiri kati ya Miji ya Arusha na Moshi mkoani Kilimanjaro, na kusababisha adha ya usafiri kwa abiria na ulanguzi wa nauli kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ushawahi sikia mbunge wa CCM akikataa kuunga mkono hoja bungeni!!. Lazima kwanza aanze kujikombakomba!!, mara ooh wananchi wamenituma!, mara ooh najisikia vibaya kutounga mkono hoja!, nitakosa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom