Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Freemanson, Jul 8, 2012.

 1. F

  Freemanson Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.
   

  Attached Files:

  • nasa.JPG
   nasa.JPG
   File size:
   78.5 KB
   Views:
   352
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kwa kuandaa hiyo mechi imedhihirisha yeye sio mjinga?
   
 3. F

  Freemanson Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama mjinga kiwango chake cha ujinga si kama kinavyoonyeshwa na baadhi ya great thinkers hapa! Ngoja uone watakavyomporomoshea matusi hapa. Lakini kufanikiwa kuwaleta hawa watu pamoja, msg iliyofikishwa kwa watanzania kupitia tamasha hili na michezo mbalimbali, hakika siamini kama ni mjinga kiasi hicho
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171218-mtanange-wabunge-wa-ccm-uso-kwa-uso-na-wabunge-wa-upinzani-2.html#post4179886
  Kama ile shughuli aliihandisi nape tambua kuwa ali-copy na ku-paste aka-edit kidooogo!!!! fuata hiyo linki urudi na new perspective.
   
 5. F

  Freemanson Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama aliuweza kuona jambo zuri, akiliboresha baada ya kuliiga, unasemaje huyu ni mjinga?
   
 6. F

  Freemanson Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  angalia hii!!!!! ndo utajua ninchosema juu ya hichi kichwa kimoja kilichobaki CCM, iko haja ya kukichukua!!
   

  Attached Files:

 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  kaka unaonekana hujausoma uzi niliyokupa link.
  Naijua hofu ya magamba kama wazo langu lingefanyiwa kazi. Ingekuwa another M4C, wana-neutralize hisia za uungwaji mkono wa mgomo wa madaktari.
  WANANCHI TWASEMA TUNAWAUNGA MKONO MADAKTARI.
   
 8. kaole

  kaole JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mpumbavu pekee ndie anaeweza kuwaunga mkono madaktari
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  DUH!!!!!!
  baada ya mshangao nakukumbusha utaujua upumbavu siku ukipatwa na fistula achilia mbali mumeo kupindwa ngiri!!!!
   
 10. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Samahanini jamani mi sikufanikiwa kuuona mtanange huo,Mh Komba alikipiga?spati picha wahasira ndiye g/keeper halafu amekaa chini,kaegemea mlingoti huku amesinzia na kaudenda kanashuka taaaratiiibu.
   
 11. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,848
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Hebu niambie,mimi mtanganyika mlalahoi niko huku Matepwende Namtumbo nimefaidika nini na mechi uchwara ya wabunge? Yaani nifurahie watu wameshiba sasa wanaamua kurusharusha vitambi vyao,halafu mm nifurahie? Hebu acheni promo zisizo mantiki bana
   
 12. F

  Freemanson Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakuwa akili yako imeishia hapo sitakujibu sana lakini mchezo ule umethibitisha kuwa.......SIASA SI UGOMVI
   
 13. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  So kwa hili la uwanja wa taifa umeamini kuwa si mjinga!
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Duh Zitto ana Mzigooo.
   
 15. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu una mtindio wa ubongo nini
   
 16. F

  Freemanson Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena uliothibitihswa na madaktari, tena katika jopo na Ulimboka yumo.
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  ujanja wake uko wapi kama jengo la uvccm makao makuu liliingizwa kwenye mkataba sawa na kuzwa kwa ushiriki wa lowahasa naye amekosa mbinu zinazoishirikisha akili kuhakikisha mkataba huo unaondoa sura ya mauzo, ama uniambie wewe ndo huna akili ndo maana huoni udogo wa akili za nape
   
 18. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Halafu mbona huyu yuko kama mzee. Mi nilikua najua ni kijana. Au sio kijana? Yaani uso na hicho kipara! Nilimuona laivu nikadhani na yeye kalishwa sumu kawa mzee. Hem nisaidieni
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nimeona dogo janja yupo benet na prof. maji mafupi!
   
 20. m

  master gland Senior Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani Dodoma hakuna uwanja hadi waende uwanja wa Taifa,kama si matumizi mabaya ya waziwazi ya KODI zetu.NAULI,CHAKULA NA STAREHE zingine walizozifanya si wametumia fedha yetu acha kushabikia upuuzi mtoa mada
  Waliweza kupunguza vitambi vyao palepale Dom
   
Loading...