TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumaini Makene, Jul 8, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wakuu habari za Jumapili

  We have just finished a Press Conference here at HQ, ambapo kutokana na uzito na umuhimu wa suala lilizongumzwa leo mbele ya wanahabari, viongozi wakuu wa chama, Mwenyekiti Taifa Kamanda Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dkt. Willibrod Slaa, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Musa Hamad Yussuf, baadhi ya wakurugenzi na maofisa wa makao makuu walikuwepo.

  Kwa kifupi. Walau kwa kuanzia sasa; CHADEMA kimeshusha tuhuma nzito kwa serikali, hasa Usalama wa Taifa kuwa wanapanga njama za kutaka kuwamaliza kwa mbinu mbalimbali, zikiwemo za kutumia sumu, kijambazi (kutesa) na zingine, viongozi wa CHADEMA, ambapo kwa kuanzia tayari mkakati unaandaliwa kuanza na John Mnyika, kisha afuate Dkt. Slaa na baadae Godbless Lema.

  Baadhi ya watu wa TISS wametajwa kwa majina wakituhumiwa kuhusika katika njama hizo ambazo tayari watu wameshawekwa kuanza kazi rasmi.

  Naibu Mkurugenzi wa UWT, Zoka ametajwa kuwa katika njama hizo, ambapo tayari kikosi kinachoongozwa na mtu anayeitwa Rama kimetumwa Mjini Dodoma kuanza harakati za namna ya kummaliza John Mnyika, kisha wengine wafuatie.

  The whole story is coming...

  Hasa njia wanazopanga kutumia kutekeleza mpango huu wa hujuma ya kikatili dhidi ya fikra huru zinazopigania mabadiliko ya kimfumo na kiutawala.

  Another serious show down to justify how the failing, falling and collapsing government behaves towards its people.

  As Chairman Freeman Mbowe has put it "Rule of Terror".

  Haya tena...

  1. Sumu
  2. Ajali (kutengeneza)
  3. Njia za kijambazi, kuteka na kutesa, kisha...
  4.
  5.   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kwa taarifa Tumaini Makene! Jirani kwangu kuna nyumba anaishi jamaa wa Usalama wa Taifa ngoja nifanye mpango tuichome moto nyumba yake! Wafanye wanavyotaka lakini wajue kwamba tupo tayari kuigueza nchi isitawalike na kuitumbukiza kwenye mauaji ya halaiki kama watataka!

  Hatuogopi risasi za moto kutua vifuani mwetu lakini wajue kwamba kifo cha kiongozi mmoja wa CDM kitazalisha vifo vya mamia ya vizazi na ndugu wa watawala!

  TUMBIRI (PhD - University of HULL)
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nashindwa kuamini kama chadema walifikiri ccm watakubali kutoka madarakani wakicheka'mjiandae kulipa gharama nzito kwenye process nzima''napend kukutaarifu kuwa watanzania wote wapenda mabadiliko tupo nyuma yenu
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Yametimia....
  anayetumia kalamu kuingia madarakani ...atatumia "mtutu wa .....

   
 5. Fred Katulanda

  Fred Katulanda Verified User

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Duuuh yakweli haya?
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ni kwa nini wanamtaka mnyika??ee mungu tusaidie
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Thanx..akifa slaa na lema machalii Archuga watatukoma.safari hii arusha hatutakuwa na masikhara.
   
 8. M

  Mlyafinono Senior Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utawala wa CCM utapita na baada ya hapo watakuwa raia wa kawaida.Hapo ndo watajua kuwa cheo ni dhamana.
   
 9. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ngoja tuone hili snema litakapoishia.
   
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Haya mambo yanashtua sana,CCM wanataka umwagaji damu ufanyike
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  TISS wetu wamekuwa "ugly monster" wa kuwameza "innocent" people
   
 12. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  "You are rats" haya yalikuwa maneno ya kifedhuli ya Gadaffi, juilize yuko wapi leo hii. Naona JK anajisafishia njia ya kwenda kwa Ocampo , The Heague.
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu mfalme turehemu.Damu ya mwanao iwe alama ya ukombozi wa Tanzania.
   
 14. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nashukuru CDM wameamua kuweka wazi pamoja na kutaja majina lolote likitoke basi tunajua nani anahusika. Hivi wewe JK unadhani baada ya kumaliza huu uraisi utakwenda kuishi sayari ya mars? Hivi mnakumbuka yule mflame wa uingereza aliyefanya mambo kama haya akisema yeye hakuna wa kumfungulia mashitaka na kwanza hivi nguvu anapata wapi, leo yuko wapi tena aliuawa kwa kuchinjwa kama kuku.
   
 15. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,368
  Likes Received: 8,409
  Trophy Points: 280
  Mbona dalili ziko wazi CCM wafaham kuwa hata CDM wana TISS wao ndani ya system
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe si ndiye uliyeleta habari za Simbachawene kukatwa mapanga? kwi kwi kwi teh teh teh!

  Mnajitafutia umaarufu kwa njia chafu? kawauweni wenyewe mseme Serikali, mnataka kujiosha kisa cha Ulimboka?
   
 17. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tunangoja news nyingine usitunyime hiyo Habari........
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  TISS wameshaacha misingi ya kazi yao ( raison de'tre ) !
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hilo tunajuwa si ndio waliomfanyizia Uli?
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  News gani ya maana ikaletwa Jumapili? huu ukurupukaji baada ya kulewa sana Jumamosi.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...