Wizara ya afya yahimiza kuanzishwa chama cha amos nchini

Electron

Member
Jul 3, 2012
92
49
Kutoka chanzo sahihi ndani ya wizara ya Afya na AMO mmoja wilaya ya kusini mwa Tanganyika yetu.

Habari nilizo nazo, ni kuwa wizara hiyo imetoa agizo kuanzishwa kwa chama hicho, tayari wameshaandaliwa viongozi wa kitaifa wanaohimiza na kuratibu wenzao wa mikoani. Hivi sasa katika wilaya mbalimbali kunaendelea vikao vya siri vya AMOs hao kuchagua viongozi, na majina hayo kuwa fowarded mkoani, ambapo viongozi wa kimkoa watachaguliwa. Chanzo hicho (AMO) ametaja kuwa wametajiwa faida mbalimbali za kuwa na chama chao ambazo hakupenda kuzieleza kwa undani.


-AMO- Assistant Medical Officer (daktari msaidizi), ni kozi ya miaka 3 (advanced diploma) baada ya kumaliza form 6, kwa sasa kitu kama hiki kiko Tanzania yetu tu duniani, as opposed to Degree of Medicine (MD) kozi ya miaka 5 ambayo ni worldwide.
-Kwa sasa AMO na Clinical Officers ni associate members wa MAT
-Kuna upinzani wa jadi kati ya makundi haya mawili, AMOs wakichukia ujio wa vijana wadogo wenye elimu zaidi tishio kwa nafasi walizonazo mawilayani.
-Kwa kuwa AMOs wana inferiority complex watawala (ma DED, madiwani etc) hupenda kuwatumia AMOs wakiwapachika katika nafasi mbalimbali za maamuzi (eg District Medical Officer-DMO) ili ku-rubber-stamp maamuzi yao (Afya ndio yenye fedha na miradi mingi mawilayani).

My take:

  1. Wizara inajaribu kutengeneza timu pinzani itakayokuwa ikitoa matamko tofauti na MAT/MDs kama "kutangaza mgomo umekwisha!"
  2. I'm worried siasa zinapoingizw kwenye taaluma, credibility ya proffesionals wetu itazidi ku-crumble

The saga goes on....



Keep your friends close and your enemies closer. Don Corleone

 
Back
Top Bottom