Bajeti ya wizara ya Maji hatarini kutopitishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya wizara ya Maji hatarini kutopitishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 10, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Kwa hari ya mambo yanavyoendelea mjengoni ni wazi kuwa bajeti ya wizara ya maji iko hatarini kutopitishwa kutokana na uchakachuaji mkubwa wa wizara na miradi mbalimbali ya wafadhili kuliwa na wajanja wachache wanaojulikana na wameachwa kwa kuwa ni mtandao.

  Tangu jana wabunge kutokujali vyama watokavyo wameonyesha kutokubaliana na bajeti na baadhi ya wabunge kama yule wa namanyere CCM kasema wazi " kama mbunge kwako unalalamika huna maji then unaunga mkono hoja ni unafiki kwa wapiga kura wako. Kama hakuna maji acha kutounga mkono hoja mpaka maji yapatikane"

  Leo itajulikana nani mnafiki na mkweli wa maji
   
 2. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Hivi viti maalum kusema 75% ya watanzania wana maji safi anaakili timamu
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ccm hoyeee
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kweli dalili zipo wazi kabisa bajeti hii inaweza isipite maana wabunge wengi sana wameikataa kutokana na kutokidhi haja.
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yule mbunge alinifurahisha sana alafu kwa sababu alikua ni wa ccm naibu spika hakumwambia akae chini aliachiwa aongee mpaka mwisho na akamwambia naibu spika kua hata jimboni kwake hakuna maji kwa hiyo na naibu spika asiipitishe hii hoja
   
 6. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge gani la kukwamisha budget ya CCM?
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  wabunge wa ccm wanapiga vita marafiki wa mwenyekiti wao.Maghembe ni mmoja wao, kile chama kwa sasa kina makundi ya kufa mtu
   
 8. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  maghembe hastahiliuwa Prof na hafai kabisa yule mbunge Shabiby aliesema kuwa hawakutegemea arudi tena kwenye baraza la mawaziri. Ila kwa uswahiba amerudishwa. Huyu angeondoka kama Msola
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  pinda hawajafungia chumbani kuwaamuru wapitishe,kwa wabunge wa ccm sio rahisi itapita mia kwa mia!
   
 10. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Naona waziri anataja majimbo yenye viongozi wa CCM tuuuu kwa nini? Eti ndo wanastahiri kupewa maji
   
 11. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  kwa ccm hili halipo tayari wameshaitwa mchana kwenye cocus ya chama , wasikizalilishe chama.hivyo itapita kwa kishindo
   
 12. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,062
  Likes Received: 1,448
  Trophy Points: 280
  Na eti Miradi ya Maji Maswa iliombwa na kusimamiwa na Dkt Pius Ngh'wandu! Kwa ujumla Ngonjera zaendelea eti Wanajibu wale Wabunge waloongea kwa HISIA KALI, na Wizara imepokea michango ya wabunge KWA HISIA KALI! Simple Politics! Pseudo thinking!
   
 13. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Sasa nahisi wenye wabunge wa Cdm maji hampati. Ccm ianguke hv hv haiwezekani! Maendeleo yatachelewa sana.
   
Loading...