Mnaokumbuka mtatuelewesha zaidi....
Hippocrat oath 425 BC,
inasemaje? nakumbuka
chache,I promise that my
medical knowlegde will be
used to benefit peoples
health,Patients are my first...
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI. Nimefikiri hili vizuri nimebaini...
ALHAMISI, JULAI 12, 2012 04:24 ELIZABETH MJATTA NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
*Wadai hawaonyeshi dalili za kutaka usuluhishi
*Watishia kuwafikisha mahakamani waliogoma
VIONGOZI wa Baraza la...
M4C, MAGWANDA, na pilika pilika zote hizi zinaonyesha kitu kimoja kua CDM imedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli ya jinsi taifa hili limekua likiendeshwa hii ikiwemo na kufukia kabisa wale...
Kwa kipindi cha wiki moja sasa, baada ya kushanga jinsi airtime inavyolika, Niliamua kuweka fedha kwenye akaunti yangu ya air time na kutoitumia kabisa zaidi ya ku-check salio tu. Nilichogundua ni...
Moja ya mafanikio makubwa ambayo nakiri mimi mwenyewe kuyashuhudia katika kipindi hiki cha miaka 15 iliyopita ni jitihada kubwa sana katika kuimarisha sekta ya miundombinu hasa barabara. Kwa wale...
Wakuu tumechoka na ufisadi wa magamba. Siyo mawaziri,Siyo midomo michafu kama Ben Mkaa-Hapa, Siyo wazinzi kama yule wa Morogoror aliyelizwa na CD na takataka zote. Hatuwezi kuzidi kukaa kimya...
Asubuhi hii saa 4 na dkk 10, mh Nchemba ameomba muongozo wa naibu spika kuhusu maelezo ya uthibitisho wa yeye kuhusika na EPA. amezungumza huku akionesha hisia kali sana.
Kasema kuwa wakati wa...
Hatimaya wakulima wa pamba mikoa ya shy na Mwanza wamesema bila shs.1000 No pamba, safari hii wamebeba mapanga na shoka kuzuia wanunuzi na imefikia mkulima mmoja aliyezidiwa na shida akitaka kuuza...
Taarifa tulizopata wakati tunaekwenda mitamboni zinasema kuwa, jeshi la polisi limeelekezwa kuwakamata viongozi wakuu wa Chadema kwa kile kinachoelezwa kuwa madai yao ya kutaka kuuawa yanaleta...
Kwenye hotuba ya rais mwisho wa mwezi alizungumzia kuhusu ujenzi wa nyumba 700 za madaktari nchini, ukweli ni kwamba huo mradi upo lakini si wa serikali ni mradi unaosimamiwa na kufadhiliwa na...
Akitolea ufafanuzi hoja ya Mwigulu Nchemba bungeni leo asubuhi naibu spika amesema kuwa tangu bunge hili la kumi lianze halijawahi kupokea ushahidi wowote kutoka kwa wabunge wanaotakiwa kufanya...
WanaJF,
Jumamosi, Mungu akinijalia nitahudhuria mkutano wa kwanza wa Tume ya Katiba watakapokuwa Kisarawe,pwani. Jambo hilo tunalifanya makusudi ili tupanguze yale tuliyo nayo kabla hatujapata...
BAADHI ya maafisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamenusurika kufa baada ya kupopolewa mawe na wakulima wa kijiji cha Igoma wilayani humo.
Habari kutoka eneo la tukio zimesema...
Salaam! wana jf serikali ya tanzania imeshndwa kabisa kuendesha mashirika yake mf-shirika la ndege limekufa,shirika la reli ya kati..mimi nipo tazara hapo tazara wafanyakaz tuna mwez wa tatu...
Hayumkini si shari tena,usemi huu umekamilika mara baada ya ushahidi wa kashfa ya rada kuingia nchini kupitia kitabu kiitwacho The Shadow World Inside The Global Arms Trade.Tunacho subiri kwa sasa...
NEWS
Prof Anna Tibaijuka, Tanzania's minister for Lands, Housing and Human Settlements Development. Photo/File By Frank Kimboy The Citizen Reporter
Posted Thursday, July 12 2012 at 14:37...
Wana JF hivi ni halali kwa wabunge toka Zanzibar kupewa muda wa kuchangia bajeti kwa wizara zisizokuwa za muungano je hii kitu ni halali? au ndo mapungufu ya kikatiba na kwa nini hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.