Tunasubiri tamko ndugu hosea baada ya ushahidi toka uingereza kuhusu kashfa ya rada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunasubiri tamko ndugu hosea baada ya ushahidi toka uingereza kuhusu kashfa ya rada

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sammosses, Jul 12, 2012.

 1. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hayumkini si shari tena,usemi huu umekamilika mara baada ya ushahidi wa kashfa ya rada kuingia nchini kupitia kitabu kiitwacho The Shadow World Inside The Global Arms Trade.Tunacho subiri kwa sasa ni Tamko la ndugu Hosea Mkurugenzi wa TAKUKURU kwa umma kuomba radhi kutokana na kauli yake ya kumsafisha mmoja wa watuhumiwa wa kashfa hiyo.Tunakuomba kama kweli unaamini katika utawala wa sheria na uwajibikaji huu ni wakati muafaka wa kujiuzuru kulinda heshima yako na kuwa funzo kwa wengine.Wakati ni huu changamkia kulinda hadhi ya taasisi.
   
 2. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Kitabu hakijasema kitu ambacho kilikua hakijulikani. Ndio kusema hakuna jipya litakalofanywa.
   
Loading...