Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 264
Salaam! wana jf serikali ya tanzania imeshndwa kabisa kuendesha mashirika yake mf-shirika la ndege limekufa,shirika la reli ya kati..mimi nipo tazara hapo tazara wafanyakaz tuna mwez wa tatu hatujalipwa mshahara mbaya zaidi serikal ya zambia imetoa dola milion 3 lkn wametoa memo kwamba hela zote walipwe wastaafu wa kizambia huo ni ubaguz wa waz.