MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
Hivi Chama gani kinaitumia Bakwata kama sehemu ya kujitetea na kuingiza Bakwata kwenye mambo haya,mimi ni Muislamu lakini Bakwata inaendeshwa kisiasa.
Hivi Chama gani kinaitumia Bakwata kama sehemu ya kujitetea na kuingiza Bakwata kwenye mambo haya,mimi ni Muislamu lakini Bakwata inaendeshwa kisiasa.
Hivi Chama gani kinaitumia Bakwata kama sehemu ya kujitetea na kuingiza Bakwata kwenye mambo haya,mimi ni Muislamu lakini Bakwata inaendeshwa kisiasa.
siyo tu mashehe ndugu yangu hata wachungaji sasa nao wamegeuka kuwa kichaka cha kufichia maovu cha CCM kumbuka wale wchungaji waliojitokeza kumlaani MNYIKA alipomuita JK dhaid=fu kitu ambacho wengi wa watanzania wanakiona pamoja na wao kwani wanaona nchi inavyoyumba.Tatizo mashehe wetu wananjaa sana!na hii inatutia aibu sana sisi waislamu!
siyo tu mashehe ndugu yangu hata wachungaji sasa nao wamegeuka kuwa kichaka cha kufichia maovu cha CCM kumbuka wale wchungaji waliojitokeza kumlaani MNYIKA alipomuita JK dhaid=fu kitu ambacho wengi wa watanzania wanakiona pamoja na wao kwani wanaona nchi inavyoyumba.
.
Haikuwa wachungaji ila ni ku
ndi hilo hilo la kina mwaipopo. Hebu mtaje mchungaji mmoja kati ya hao waliomlaani mnyika uone kama ni mchungaji kweli. Ni wajanja tu fulani walionunua koti na tai kisha kujiitangaza kuwa wachungaji. Hawa wako kundi moja na kina Mwaipopo ktk mchongo ili ku-justify dini zote mbili kuhusika.
.
Dini mbili zipi unamaanisha ? Kwani ukristo
ni dini ?
Said Mwaipopo ushehe kaupatia wapi?mm ni Muislam Said Mwaipopo na msopa nawajua vizuri sana ni matapeli wakubwa!kwanza hakuna taasisi ya bahakita ktk uislam haitambuliwi popote wala hawana uhusiano wowote na bakwata!ni watubwa kawaida tu wAnatumika na CCM bila ya kujali km wanautukanisha Uislam!Yule Said Mwaipopo aliyekuwa msuluhishi kati ya ikulu na madaktari kwa namna ya kidini, sasa ametangaza kuwapeleka madaktari mahakamani. Jiulize je kweli huyu alikuwa mpatanishi kweli? Au alikuwa kibaraka kinachorimotiwa na ikulu? Mahakamani na usuluhishi wapi wapi?
.
ndugu uelewe kuwa bakwata ni tawi la magamba kama ilivyo uv magamba au uwt magamba tokea kuanzishwa kwake. Wenye akili wala hawajadili hili. Natumaini hata wewe baada ya kujuzwa sasa halitakuoutezea muda. Wanatimiza majukumu yao wewe utawazuia.hivi chama gani kinaitumia bakwata kama sehemu ya kujitetea na kuingiza bakwata kwenye mambo haya,mimi ni muislamu lakini bakwata inaendeshwa kisiasa.
hawa watu kama vyura. kipindi cha masika (Rais akiwa muislam) utasikia makelele kibao (yasiyokuwa na msingi na nchi haipigi hatua yoyote kimaendeleo😉
kipindi cha mavuno(Rais akiwa Mkristo) husikii kelele za vyura. hapa utasikia 'shiling is gaining strength against $, mambo ya wanafunzi kufaulu kihalali.