wakulima wa pamba wasema kwa bei shs.660 NO PAMBA

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Hatimaya wakulima wa pamba mikoa ya shy na Mwanza wamesema bila shs.1000 No pamba, safari hii wamebeba mapanga na shoka kuzuia wanunuzi na imefikia mkulima mmoja aliyezidiwa na shida akitaka kuuza kwa bei hiyo alikipata cha moto baada ya kupokea kipigo hadi nyumba yake kuchomwa moto.

Swali:tunakoelekea ni salama kweli????????????????????????tafakari
 
Ni kweli mkuu, last weekend nimempigia mzee wangu yuko pale maeneo ya Ukenyenge, kalalamika sana kuhusu bei ya pamba. Kwa hili, kesho lazima nimkolezee, bila 1000@1Kg, hakuna kuuza hiyo pamba mpaka kieleweke. Nchi inaendeshwa kizama za mawe sana! Full uonevu kwenda mbele.
 
Kwa nini lazima iwe 1000 na siyo labda 1500, 5000 au nyingine yoyote zaidi ya 1000.
 
Brother labda tufikirie kidogo, hivi ni kweli kwamba bei za mazao tusiyoyatumia (consume) kama pamba tunao uwezo wa kupanga bei zake? binafsi ningependa bei iwe zaidi ya hiyo 1000. lakini je, wanaosema lazima iwe 1000 wana base kitu gani? kwa nini labda isiwe sh. 5000/= kwa kilo?. tumekuwa tukiimba kila siku kwamba dunia sasa ni kama kijiji. na kwa hivyo si kitu kigumu kujua bei ya pamba katika soko la dunia kwa zama hizi.

Badala ya ku-urgue kama wazee wetu wlioko ukenyenge, tutumie uelewa wetu kufanya mkokotoo kutokana na bei iliyoko huko sokoni/ughaibuni tuone ni kiasi gani mkulima akiwa huko Ukenyenge anastahiki kulipwa. Pengine hata hao wanaojifanya kutetea wakulima walipwe 1000 nao hawajui kitu na labda bei stahiki ni sh. 6000/= kwa kilo.
 
Back
Top Bottom