Kiapo cha Madaktari: Ni Zaidi ya Pesa kweli... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiapo cha Madaktari: Ni Zaidi ya Pesa kweli...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Jun 30, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mnaokumbuka mtatuelewesha zaidi....

  Hippocrat oath 425 BC,
  inasemaje? nakumbuka
  chache,I promise that my
  medical knowlegde will be
  used to benefit peoples
  health,Patients are my first concern, I will listen to them
  and provide the best care i can,
  i will be honest,respectful, and
  compassionate toward
  patients. 2,I will do my best to
  help any one in medical need. 3 I will not put personal profit or
  advancement above my duty to
  my patient.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kama vifaa ni duni kabisa hiyo oath inasemaje?
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Madaktari wauaji wa Tanzania hicho hawakijui.
   
 4. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Na kwa kiwango chako cha juu kabisa cha kufikiri umeishia hapo tu. Afya anayoshughulikia daktari imeishia hapo. Pole weeeee.
   
 5. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Yaaaah!!! that's true man.... ndo maana wamegoma ili mazingira yawe mazuri "to benefit peoples health". Tatizo unajua kusoma ila UNASHINDWA kuchanganua mambo
   
 6. w

  wakuziba Senior Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MUNGU AWALAANI MADAKTARI WALIOGOMA. serikali imejaribu kusikiliza maombi yao na kuyatatua kwa 60% lkn bado wanagoma. pana jambo hapa. siyo mgomo wa kawaida. kama lengo la hao wanao wasukuma ni kushika madaraka, wasubiri 2015. wakipewa ridhaa watachukua ikulu.
   
 7. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  we tatizo lako ni mafia.
   
 8. n

  ngomz Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kama unawaona wauwaji kasomee wewe ili ukatibu au ulikuwa kilaza shuleni ukakosa vigezo mbuzi mkubwa
   
 9. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Yaah!! and this one is true...kwa gharama yeyote....mpaka mazingira ya hospitali za walipa kodi yam"confort" mlipa kodi mwenyewe.Siyo goverment officials wanaoenda Apollo na st. thomas...nk
   
 10. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Yaaah!! ndo maana wameongezewa posho, lakini bado wakagoma...kwa kuwa Serikali Sikivu, haijatimiza lililo la msingi kwa umma, kwa KUBORESHA MAZINGIRA ya hospitali.
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  kaamka vibaya huyo.
   
 12. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Basi hospitali binafsi zingekuwa hazitozi faida katika huduma zao
   
 13. m

  mwoga Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kukariri utumbo. 2015 inahusikaje na maslahi ya wasomi kama madaktari? Au kwasababu wao hawana njia za kupata hela kifisadi kama nyie wanasiasa wachumia tumbo mnaoogopa itakuaje wananchi wakitumia busara zao 2015? Tuna tatizo la uongozi Tanzania na tatizo walioingia madarakani kwa elimu za madesa na nyenzo ndo waamuzi wa hatima ya waTz.
   
 14. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  IMEJARIBU lakini haikusikiliza kwa umakini hivyo haikusikiliza mabo muhimu kwa manufaa ya umma......ULAANIWE WEWE mwenye elimu ya kuungaunga na KUIPENDA ELIMU WAKATI ELIMU HAIKUPENDI.
   
 15. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mbona umeanza vijembe,sipo huko tunza heshima...
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kushabikia mgomo wa madaktari ni kushabikia vifo vya watanzania maskini
   
 17. m

  mamajack JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe nenda nawewe ukaape halafu yakupate yanayowapata.hebu emagine,madaktari wamegeuka kuwa watu wa kufanya mambo ya ajabu ili wapate mkate wa kila siku.ndiyo,wanachangia sana suala la utoaji mimba maana wanapata pesa,lakini kiukweli hawapendi wafanye hivyo.serikali yetu ya magumashi na madili,imepandiliza icho kitu kwenye akiri zetu.mwenyewe hapo unaishi kwa madili na magumashi tena haramu kabisa.
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,137
  Trophy Points: 280
  Samahani ndugu naiba wa Spika, hivi mimi ni Wizi Mkuu au nani, oohh sorry maana jana nilisema ntatoa tamko lakini nikakuta nimeingilia uhuru wa Maha-kama, hivi kweli sikujua kuwa kwa kusema vile naingilia uhuru wao au ilikua ni Hangover tu ndugu wazi-mkuu? sorry kumbe mimi ndio wazi-mkuu, I meant ndugu Supika? Hili koti la uwizi kama vile sio langu vile...mana kila siku nalisahau...aaah tuyaache hayo, Hivi unajua wewe dogo Tundu nakushesimu sana, usiniache nikufanye kama nilichomfanya yule jamaa juzi....sorry naona umekoti vibaya!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. M

  MTK JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  The oath is one thing; Hypothetical, theoretical; in the ideal situation; based on the economical principle of everything being equal, Ceterius peribus in greek!. Now what about the real life, the practical world?!! Kwamba kuna vifaa na miundo mbinu vya kutosha pamoja na huduma muhimu kwa watoa huduma wenyewe ikiwa ni pamoja na maslahi na mazingira bora ya kazi.
  Je kuna waliokula kiapo cha kuhujumu uchumi, kutafuna pesa za wavuja jasho, waon wale na kuishi vizuri?! ni kiapo tu cha madaktari ndio nongwa wengine wote ruksa?! acha utani wa aina hiyo muungwana.
   
 20. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Wacha ubaradhuli nyie wabongo hicho kiapo kisiwazengue bure, ?
  Kiapo chenyewe una sema ni cha mwaka 425 BC ? Mungu wangu mpaka leo mazingira ni yale yale, Daktari ashindwe kusomesha watoto wake sababu ya kiapo, ashindwe kulipia nyumba nzuri ya kupanga sababu ya kiapo.
  Kiapo, kiapo , mbona tunakuwa watu tusio na akili, hata muuza mitumba ana afadhari zaidi ya Dr.
   
Loading...