<span class="messageBody" data-ft='{"type":3}'>I am just a Tanzanian Dr, I am not MSD all I can do is advice you which medications and tests are best fit to improve your condition. I cannot pay...
Ule usemi mwafrica lake tumbo umetimia pale madaktari walipoenda wizarani wakilia na kulaani kupotoshwa chanzo kimeeleza.
Mpaka napo pata chobingo ya kurusha nondo hizi aliyeonyesha msimamo...
Nimeanzisha thread nyingine kuhusu kitendo cha Dr. Faustine Ndugulile kutolew nje kwa muda wa siku tatu. Adhabu ile amepewa kwa mujibu wa kanuni ya 73(3) ya Bunge isemayo hivi: {Endapo Mbunge...
Hadi hapa lazima kama mwananchi wa kawaida lazima nishangae na kuondoa imani na jeshi la polisi inakuwaje wauwaji wa watalii serengeti wakamatwe mdani ya 24 hrs lakini kwa Dr. Olimboka Mtanzania...
Leo Mwigulu Mchemba ameomba mwongozo kuhusu ushahidi wa John Mnyika alioufikisha kwenye ofisi za Bunge.
Cha msingi hapa ni kwamba Job Ndugai ameeleza kuwa wabunge waache tabia ya uongo na...
Habarini wakuu.
Serikali ya CCM, haijawahi kuonesha nia ya dhati kuheshimu taaluma za watu hasa MADAKTARI. Wanafanya hivyo kwa kuwa, wanategemea mapato makubwa kutoka katika shughuli haramu za...
Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgombea wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana...
Nimesema mara kadhaa, mie sina chama, lakini napenda kuona Tanzania ikiendelea, bila kujali CCM au Chadema ndio wanaoshika serikali.
Nimelaani sana U-CCM na U-Chadema unaoshika kasi nchini...
Charles Tylor hakuhukumiwa kwa makosa aliyoyatenda yeye binafsi, bali yalitendwa chini ya mamlaka yake wakati alikuwa na uwezo kuyazuia kutendeka. Waliyoyatenda wapo mtaani wanakula bata kwa fedha...
Baada ya kuandika sana hapa sasa nimeamua kusaidia mawazo wana JF wenzangu na kujikita zaidi kwenye kazi hii ambayo nafikiri ndio naifurahia baada ya kupiga sana boksi huku majuu hapa mjini...
Wana Famiiforums kwa miaka mingi bunge letu limekuwa haliwafikii ndugu zetu walemavu wa kutosikia kwa kuwa yule mtu anaewatafsiria pale pembeni hatujawahi kumuona hata kidogo akiwatafsiria hawa...
Ninaposikia wabunge wengine wanaongelea kuhusu maeneo yao naumia kwani sisi wakazi wa Kinyerezi tunanyanyaswa na manispaa ya Ilala kwa kuvamia maeneo yetu na kuyapima bila idhini yetu na kutangaza...
`Hunting firm illegally leased block to uranium miners`
By Patrick Kisembo
12th July 2012
The Opposition camp yesterday told the National Assembly about an alleged scam...
*Ni kwa viongozi kukataa kuhojiwa
*Yasisitiza kuchunguza tuhuma zao
*Yaonya haitakubali kuyumbishwa
JESHI la Polisi limesema licha ya viongozi wa Chadema kukataa kuhojiwa, litaendelea...
Jana trh 10.07. 2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na...
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.