Prof. Tibaijuka akiri kumpa rushwa Ndungulile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Tibaijuka akiri kumpa rushwa Ndungulile

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by richone, Jul 12, 2012.

 1. r

  richone Senior Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  prof,tibaijuka akiri asema hakuwai kumpa mtu yeyote pesa tofauti na Dr faustine Ndugulile.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Magamba sasa kwishney kwa hulka za UFISADI; si sura mpya, wala za zamani - Rtz1 upo???
   
 3. s

  sithole JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Husomeki ndg.yangu!funguka watu tukuelewe!Ndugulile ndio nani,na ilikua issue gani ndio akayasema hayo?funguka mukubwa!
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ongezea basi nyama maana habari haijakamilika!!
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahaha watatjana wote mwaka huu M4C mchezo!
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Mbili bila
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,664
  Trophy Points: 280

  Imagine, holy **** tena... false 101% u post this lies
  shame on u....!!! I listened the full speech ya Prof. Tibaijuka.... She is really THE BEST MINISTER the country
  is proud of.... kajipanga... tuache kuongea hovyo hovyo...
  concerning Ndungulile alisema hivi; Ndungulile alikuwa anadai fedha kwa ajili ya plot yake Kigamboni...na akakiri alilipwa na yeye ili hali wananchi wengi bado hawajalipwa ila wako ktk process ya kulipwa eneo la mji mpya wa Kigamboni......
  So corruption inatoka wapi..!!?? Nosense to u poorone not richone
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ndio hiyo ni rushwa kwanini anze kulipwa mbunge hiyo ni rushwa ili anyamaze kutetea
   
 9. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  rushwa tuuuu.... unaanzaje kumlipa flani na wengine wanabaki??? Haingii akilini!!!
   
 10. h

  hans79 JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Hii kama sinema, mupe mupe muruke.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Magwanda mnajulikana kwa uzushi na uongo na kugeuza maneno, hivi watu kama nyinyi mnategemea haswa tuwape hii nchi muongoze? mtateseka sana. Watanzania wameshawashtukia.

  Waswahili hunena "ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka". Magwanda kwisha, hamna hoja wala sera kazi kudanganya tu.
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  CDM kwishneyy bungeni kama mpira tu wndundadunda hamna lolote
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Source pls!
   
 14. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Zombaaa! Mweupe, Zomba mweupe!
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Then wote
  Tibaijuka na Ndugulile hawatufai tanzania.
  Kama tungekuwa na chombo cha kudhibiti RUSHWA Tanzania kingewahenyesha hawa.
   
 16. M

  MUNYAMAKWA Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo ni changamoto za kawaida katika utendaji kazi ila kiukweli mama amedhamiria na anaweza kama tukimpa ushirikiano. Let's move together because we are sailling on the same boat
   
 17. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duu na hii kali yaani kulikuwa na fedha ya kumlipa ndugulile tu. Kusema kweli hapa kuna mushkeli kwa nini alipwe yeye tu mtu mmoja na wengine waachwe kamwe haiingii akilini.
  Nadhani ndio maana inawezekana ikaonekana kama rushwa ya kumziba mdomo asiwatetee wananchi wake
   
 18. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hiyo ni rushwa tena ya wazi kabisa,atoe sababu iliyomfanya wakulipwa awe Ndungulile peke yake na siyo mtu mwingine ndiyo tutamuuelewa.
   
 19. a

  afwe JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Hajasema zaidi ya Ndugulile ni nani mwingine aliye lipwa. Bila shaka kama ni malipo halali ya fidia ya nyumba yake sidhani kama ni rushwa labda tuite upendeleo wa wazi baina ya viongozi.
   
 20. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Kweli Lynix, hata kumpa upendeleo mtu japokuwa ni haki yake nayo ni rushwa maana yake hapo amefungwa mdomo tayari hawezi kupiga kelele kwa niaba ya wengi, bado ZAWADI pia ni rushwa hata kama ulitoa kwa nia njema lakini impact yake ni kwamba unaweza kurudi siku nyingine ukamkuta yule uliempa zawadi ukiwa kwenye foleni kubwa matokeo yake utapata upendeleo wa kuhudumiwa kabla ya wengine. Tatizao tumezoea rushwa mpaka utoe hela mfukoni umpe mtu akupatie huduma flani. Inabidi tubadilike maana kuna mazingira hata kumpa lift Hakimu ni rushwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...