Watumiaji wa tigo mmegundua uwizi huu!!!

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
2,448
5,974
Kwa kipindi cha wiki moja sasa, baada ya kushanga jinsi airtime inavyolika, Niliamua kuweka fedha kwenye akaunti yangu ya air time na kutoitumia kabisa zaidi ya ku-check salio tu. Nilichogundua ni kua jamaa wananikata shs 68/= kila siku!!!! Najiuliza sipati jibu. Nimeona niliweke humu jamvini kama kuna mtu amekutana na experience ya aina hii kama sijaliwasilisha katika mamlaka husika.
 
Mimi binafsi sijakutana na hilo, lakini this is possible! It is a matter of instructing their computer/system to deduct 68/= or whatever amount they feel fit at any time, anyday etc. Hamia kwingine,lakiniwote ni hivyo hivyo!!
 
Kwa kipindi cha wiki moja sasa, baada ya kushanga jinsi airtime inavyolika, Niliamua kuweka fedha kwenye akaunti yangu ya air time na kutoitumia kabisa zaidi ya ku-check salio tu. Nilichogundua ni kua jamaa wananikata shs 68/= kila siku!!!! Najiuliza sipati jibu. Nimeona niliweke humu jamvini kama kuna mtu amekutana na experience ya aina hii kama sijaliwasilisha katika mamlaka husika.

Mbona ulichoandika siyo siasa? umesahau wapi pa kupeleka thread yako.
 
Kwa kipindi cha wiki moja sasa, baada ya kushanga jinsi airtime inavyolika, Niliamua kuweka fedha kwenye akaunti yangu ya air time na kutoitumia kabisa zaidi ya ku-check salio tu. Nilichogundua ni kua jamaa wananikata shs 68/= kila siku!!!! Najiuliza sipati jibu. Nimeona niliweke humu jamvini kama kuna mtu amekutana na experience ya aina hii kama sijaliwasilisha katika mamlaka husika.

siasa hapa zinatoka wapi?
 
Mbona mimi siibiwi, au inachagua watu f'lan f'lan! Wanaoniibia mimi ni Voda na Airtel, lkn tiGO na Zantel pouwa.
 
Mkuu pole sana, inavyoonekana tigo sasa wanarudisha kinguvu zile ela zao mlizokuwa mnatumia kwa kupiga simu free kuanzia saa 6 usiku, business is like gambling, nothing for free....
 
kuna simu zingine huwa zinajiConnect kwenye Internet ili kuangalia Updates, emails, zinarefresh baada ya muda hasahasa hizi iPhone zina tabia hiyo na zinalamba airtime.. kama hautumii smartphones basi kuna haja ya kwenda kuwalalamikia hawa jamaa,,,
 
hii mitandao imeamua kuibia wateja, cmu ikilala na salio zaid ya mia tatu lazima wakate tu, mi uwa naweka vocha nahakikisha hakuna salio linalolala, kuna wakati tigo walikata 300 mara nne ndani ya wiki wakidai ni caller tune.
eatel wao wanataka 210 kila siku wanadai ni ya siku 7 lakini kukiwa na salio watakata daily, wakikosa bika aibu wanasema salio halitoshi.
Mbaya zaidi hakuna mtetezi wa walaji, TCRA wako bize na mambo yao, mtu anaweza ona 300 ni ndogo kwa siku au 68/-, lakini kumbuka hawa jamaa wanam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom