Naibu spika kumnongoneza mchangia mada inaruhusiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu spika kumnongoneza mchangia mada inaruhusiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rumishaeli, Jul 13, 2012.

 1. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimemuona naibu spika Mr Ndugai akimnongoneza mama aliyekua anachangia hoja. Je hili linaruhusiwa kama naibu spika kumfundisha muongeaji wakati kashaanza kuchangia mada? Haya yote yanajengwa ili kuipiga chini hotuba ya sheria upande wa upinzani! Sasa naona pia wamechagua wachangiaji wa kuiponda hotuba ya Lisu.
   
 2. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Pale bungeni umbali anaokaa naibu Spika na wabunge ni zaidi ya mita tano.
  Hebu tufahamishe vizuri. Mimi kunong'oneza ninakokujua ni kumwambia mtu sikioni kimyakimya na wengine wasisikie.
  Inawezekanaje?
   
 3. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jioni hii hakua anaongoza bunge alikua amekaa kama wabunge wengine na Jenista Mhagama ndio alikua anaongoza bunge. Ila ndugai alikua amekaa na karibu na huyo mama kawa jina simatambui ila alivaa red kama unaaangalia bunge
   
 4. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Job Ndugai ni mbunge wa Kongwa. Kama akikaa kule kwa katiba yetu ya sasa anakuwa amekaa kama wabunge wengine.

  Ungeona siku ya kupiga kura ya ndiyoooo wakati bajeti inapitishwa aliitwa jina lake JOB NDUGAI akatikia NDIYOO na alikuwa hukohuko unakokusema wakati bunge likiendeshwa na Anne Makinda.
   
 5. M

  Maroune Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi kwa kumfafanulia vzuri, watu wanakurupuka tu
   
Loading...