Ahsante Halima Mdee... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahsante Halima Mdee...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Jul 12, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

  [FONT=&amp]Mheshimiwa Spika,[/FONT][FONT=&amp] napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. [/FONT][FONT=&amp]Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi![/FONT] - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .


  Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  T 2015 cdm
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,906
  Likes Received: 5,367
  Trophy Points: 280
  sheria za jf zirekebishwe..watu wenye upeo mdogo wavuliwe membership,sasa ndo nini hapo?
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mbona hii asante yako imekaa kisharishari?
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nilijua uzi umeletwa na mtu mwenye akili nikafungua haraka daaah!
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  zomba +zombe=msitu wa pande.
  ngoja nikanywe chai.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hujayapenda maneno ya Mheshimiwa Halima Mdee au vipi?
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Rais ambaye JK anaweza kujipima naye ni Ali Hassan Mwinyi labda na Mkapa kidogo. Rais wa kwanza Mwl. Nyerere pamoja na kutokuwepo rasilimali nyingi wakati huo alijenga kiwanda karibia kila mkoa. Alijenga nyumba za serikali ambazo wezi Mkapa na Magufuli wamekuja kuuza, alijenga bandari Dar, Tanga, Mtwaraxxd, Mwanza, ALIONGOZA SERIKALI YENYE NIDHAMU AMBAYO RUSHWA ILIKUWA NI MWIKO. Alileta umoja wa kitaifa kwa kuongoza serikali bila kujali dini wala. Wakati wake elimu ilikuwa inatolewa bure tena kwa ubora wa hali ya juu. Wakati wake shule zilikuwa na vifaa na waalimu. Wakati wa Kikwete elimu katika shule za msingi na sekondari imekuwa na mzaha tu.
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Mimi sijaelewa hoja hapa ni nini?
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  zomba,mkuu udini ni sehemu yako ya maisha?Kazi kweli kweli
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Zomba anasumbuliwa na udini. Eti neno "Nchi ya Ahadi" ndio issue
   
 13. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lakini hii njemba siielewi-elewi. hizi links za Mwl. Mwakasege ni very deep teachings. Anachokoachokonoaje huku?
  .great Zombie!
   
 14. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujamalizia kwamba Mwalimu alifanya hayo yote bila kugusa dhahabu wala tanzanite wala gesi.. Ya ardhini aliyalinda kwa nguvu zake zote kwani alipenda vizazi vyetu wenyewe ndio tuje kuchimba baada ya kupata utaalam na nyenzo na mitaji ya kutosha..
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,484
  Likes Received: 5,869
  Trophy Points: 280
  Miss Zomba,

  Whatever you have been chewing,drinking,sniffing or smoking kindly share with us.....you seem to be highly intoxicated!
   
 16. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yes Tanzania yenye neema tuliyoahidiwa na watawala wasio na dhamira ya dhati ya kutufikisha huko,
  chini ya kiongozi mwenye dhamira ya dhati kama Dr Slaa tutaifikia tu."BIG UP kamanda Halima Mdee"
   
 17. N

  Nambombe Senior Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutafika tu
   
 18. m

  mdage Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wengne wangefurahi kuona zinapostiwa hints za ccm
   
 19. a

  andrews JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​kama bado unaumwa na kichwa ninazo panadol
   
 20. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa haeleweki atapinga kila kitu chadema ila kama kinahusisha jina halima,yusuph,ally,said hata kama ni kibaya hasemi.
  nafikiri anaumwa ugojwa unaoitwa islamophobia.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...