HONGERA Mnadhimu TUNDU LISSU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HONGERA Mnadhimu TUNDU LISSU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, Jul 13, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika TUNDU LISSU weledi,umakini,ujasiri,Msimamo na uchapa kazi wake ni hazina kwa CHADEMA.Nashauri CHADEMA sasa LISSU aanze kufikiriwa kwa ajili ya kupeperusha bendera ya CHADEMA kwani UWEZO,UZOEFU na UPEO wake ni mkubwa sana.Pia UMRI wake na UTANASHATI ni tiketi ya kupata KURA uchaguzi ujao.HOTUBA yake bungeni leo hakika Watanzania tumezidi kumkubali anajua kujenga hoja vizuri.Mungu mbariki TUNDU LISSU MZALENDO wa Tz.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sijaiona wala kuisikia,ningeomba niisome hapa,ili walau nipate cha kuchangia kuhusiana na kilichowasilishwa
   
 3. K

  Kyle New Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika watanzania wenye macho tunaona kaz kwetu 2015
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Ushauri wako mzuri lakini sisi watanzania mioyo yetu imemuhifadhi Dr.slaa huyu ndiyo mtawala wetu makini ajaye na baada ya hapo wengine tutafuata.Tunataka awabadilishe watu warudi kwenye misingi iliyobomolewa na magamba wengine watatawala baada ya...
   
 5. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  huyo ni tishio kwa chama chetu cha maulaji.
   
 6. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Acha uzembe we kila kitu hadi utafuniwe si uwe unafuatilia bunge .nenda kwenye tovuti ya bunge,wavuti ya chadema utaikuta
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Si ajabu ukapendekeza Mzee Mwanakijiji naye awe Rais!!.....
   
 8. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Lissu akiwasilisa kitu ni zaidi ya kusoma, ingependeza kama ungemsikia live! jamaa kwanza anayo sauti ya kuiwasilisha mada, na kuvuta hadhara... nenda utube uone live1! Bravo kaka lissu
   
 9. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,716
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  hivi maoni yanayotolewa na msemaji wa kambi ya upinzani huwa ni maoni binafsi au ya kambi rasmi ya upinzani, haiwezekni mtu mwingine kuyasema kama aliyosema Tundu lissu?
   
 10. Shekhe Gorogosi Jr

  Shekhe Gorogosi Jr Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUNDUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU>>>>>> We ni mkale:israel:
   
 11. chubio

  chubio Senior Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  the way anavyowasilisha mada huwez kubanduka..!ANAJUA
   
 12. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mheshimiwa Lissu ile nukuu ya Baba wa Taifa natamani iwe katika kila hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani kwa wizara zote zilizosalia. Ombi pllease.
   
 13. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ..zitto je?
   
 14. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yaani ukinitolea shibuda na huyu rose kamili kwa kweli majembe mengine yote ya cdm yaliyosalia humo mjengoni huwa yananifanya 2015 niione kama miaka 100,braaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaavvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvooooooooooooooooooooooo chama langu cdm
   
 15. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Tundu lisu ni hazina iliyotukuka. anawachezesha akina lusinde,nchemba,maji marefu,makinda na magamba wote kwa ujumla nusu uwanja halafu forward(cdm mps) anazirudisha beki. Ur an awesome T.L
   
 16. H

  Hebron Caleb JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Niliifuatilia hotuba yake kifungu hadi kifungu kupitia radio Mambo FM, i was so much excited and i feel we have good people who can take this nation to the right destiny. God bless you Tundu Lissu, CHADEMA and All Tanzanians who love the reforms.
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nimeisoma tayari kaka,3310 yangu haionesh u tyubu,ila ni hadhira na si hadhara
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jaman dar kuna redio gan inayorusha bunge live?????
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  namuamini sana huyu,sidhan kama bunge hili litapita bila ya kuchafua hali ya hewa,anaweza hata akaiumbua wizara ya MAKAMBA Jr,kila siku analia na tigo,,,,lets wait
   
 20. N

  NG'ONGOVE Senior Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mengine yote umesema vema ila hapo kwenye redi, sikubaliani na wewe. bado DR Slaa ndiye raisi wetu 2015. kama wewe ni wa chama cha mabwepande usiupoteze muda wako bure hatudanganyiki.
   
Loading...