Hivi ni kwa ninijimbo letu la arusha halitendewi haki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kwa ninijimbo letu la arusha halitendewi haki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by All TRUTH, Jul 13, 2012.

 1. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,275
  Likes Received: 983
  Trophy Points: 280
  Jamani wakuu napenda kujuwa ni kwanini sisi wana arusha mjini hatuna mtetezi wetu bungeni kwa kipindi kilefu hicho? Na kwanini rufaha ya lema inachukuwa muda wote huo kupewa hukumu? Hivi serikali haijui hilo au ndo haina hela?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Subirini ccm wamalize kuweka lami mjini ili wawaletee mgombea mumchague.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana na wanataka kupandikiza chuki mbaya sana kwa wana Arush ili 2015 CCM ipete. Sijui kama mission yao itakuwa fullfilled.
   
 4. J

  Joyfull Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawataweza milele.
   
Loading...