Posho ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posho ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Umslpogaaz, Jul 13, 2012.

 1. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali liliulizwa leo bungeni kuhusu posho wanazopokea wajumbe wa bodi ya kutafuta maoni ya katiba mpya. Jibu lililotolewa ni kwamba 'posho ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa'.

  Hivi posho zingine mbona sio siri, mfano posho za wabunge na za madaktari zimekuwa zikizungumziwa kwa muda mrefu na bado zinaendelea kuzungumziwa. Hizi za tume ya katiba kunani?
   
Loading...