Ushauri wa Bure: A. Mahimbo afunge ndoa na Rose Kamili ili kupunguza machungu ya ujane na upweke

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Kwa kuwa wote ( Rose Kamili na A. Mahimbo) ni wahanga wa vitendo vya Dr. Wilbroad Slaa, na kwakuwa hakuna uwezekano kwa Dr. Slaa kumwacha mke wake wa sasa ili kumuoa Rose kamili nashauri A. Mahimbo apunguze machungu kwa kumuoa Rose Kamili. Kwa mawazo yangu naona wawili hawa wanaweza kudumu katika ndoa kutokana na kuwa na tabia zinazofanana. Kwanza wanakubali kutumika bila kutafakari aina ya mashinikizo pamoja na msukumo uliopo nyuma yao, pili ni watu wenye tamaa ya fedha ......wako radhi kufanya lolote bila tafakuri pale tu wanapoahidiwa malipo ya kifedha.
 
Josephine na software za mahesabu ya chadema zikatowa mpaka bajeti yenye mapato "0".
 
hilo silijui, ni namzungumzia mjomba wako A. Mahimbo amuoe Rose Kamili wanamagamba dhaifu mchekelee.
Josephine na software za mahesabu ya chadema zikatowa mpaka bajeti yenye mapato "0".
 
We hujui Rose kamili ni ccm damdamu, alikuwa Diwani wa ccm hadi 2010, akahamia cdm kuleta vurugu tu, sasa anatumika ili kumkosesha amani Dr. Slaa wakati huu wa M4C, operation sangara itakayoendelea hivi karibuni, mwisho wa siku sitashangaa tukisikia karudi ccm, maana huko ndo kunamfaa.. lengo la wanaomtumia ni kuhamisha mawazo ya watu kutoka mambo yanayoendelea visivyo: serikali vs migomo ya madaktari, suala la Ulimboka, tuhuma za mauaji yanayopangwa dhidi ya viongozi wa CDM. Sasa wamegundua mbinu zao zote zimegundulika, wameona wawawatumie Rose na Mahimbo ili kuleta....mtafaruku ndani ya CDM.
 
Well said mkuu! Tutaona mwisho wake uko vp.

Ulisema subirini mambo yanakuja wiki hii. Ndiyo haya mliyoyapanga kuwanunua Rose Kamili na Mahimbo.
Haya tusubiri tuone mwisho wake.
 
Kwa kuwa wote ( Rose Kamili na A. Mahimbo) ni wahanga wa vitendo vya Dr. Wilbroad Slaa, na kwakuwa hakuna uwezekano kwa Dr. Slaa kumwacha mke wake wa sasa ili kumuoa Rose kamili nashauri A. Mahimbo apunguze machungu kwa kumuoa Rose Kamili. Kwa mawazo yangu naona wawili hawa wanaweza kudumu katika ndoa kutokana na kuwa na tabia zinazofanana. Kwanza wanakubali kutumika bila kutafakari aina ya mashinikizo pamoja na msukumo uliopo nyuma yao, pili ni watu wenye tamaa ya fedha ......wako radhi kufanya lolote bila tafakuri pale tu wanapoahidiwa malipo ya kifedha.

Kwa nini Rose Kamili anapongezwa na wabunge wa CCM (Mhe.Sophia Simba na Ester Bulaya) kwa kufungua kesi dhidi ya Dr. Slaa
Chanzo Mwananchi 13 Julai 2012.Ukurasa wa Kwanza.
My take :
Nakubaliana na Dr.Slaa wanatumika kisiasa Kamili na Mahimbo waoane.
 
Kama mimi ningekuwa Dr. Slaa ninge SILIMU halafu nikawaoa wote wawili (Rose na Josephine). Matatizo yote ninaya solve through that way. It is so simple like A,B,C!

Wamarekani walitumia miaka 10 kugundua kalamu ya wino (pen) itakayotumikia kuandika kwenye SPACE (Remember kwenye SPACE haku gravitational force (g)).

Warussi walipokwenda kwenye SPACE wao wakatumia PENCIL kuandika.

MORAL OF THE STORY: Sometimes you need a simple solution to solve a complicated problem. Hivyo ushauri wangu kwa Dr. Slaa ni huo kubadilisha dini na kuwa Mwislamu.
 
Kwa nini Rose Kamili anapongezwa na wabunge wa CCM (Mhe.Sophia Simba na Ester Bulaya) kwa kufungua kesi dhidi ya Dr. Slaa
Chanzo Mwananchi 13 Julai 2012.Ukurasa wa Kwanza.
My take :
Nakubaliana na Dr.Slaa wanatumika kisiasa Kamili na Mahimbo waoane.
Mwambieni Dr Slaa kuwa jungle politics ina crude rules:
  • You scratch my back , I scratch yours
  • The enemy of my enemy is my friend
  • The friend of my enemy is my enemy
  • ..........watajaza!!!
 
Tatizo huyo Mahimbo sasa hivi siyo riziki, sababu ya kumwagwa na Josephine ni kuwa alikuwa mlevi mbwa akipata mshahara harudi nyumbani mpaka uishe na alikuwa analewa mpaka anaanguka na kama unavyojua wahuni wakikuta mdondo wanaharibu ile mbaya,aliendelea na ulevi huo hadi ikawa kawaida yake kucameruniwa kila siku ndiyo Josephine yakamshinda akajikata .
 
Back
Top Bottom