Madakitari waandae video nyingine za Dr Ulimboka akihojiwa akiwa SA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madakitari waandae video nyingine za Dr Ulimboka akihojiwa akiwa SA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Stabilaiza, Jul 13, 2012.

 1. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,690
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  MAT na jumuia ya madaktari kwa kushirikiana na wadau wengine andaeni video zingine mbili, moja ya kiingereza na nyingine ya kiswahili akieleza kilichomtokea. Video hizi zisambazwe ulimwengu mzima ili serikali ya Kikwete ieleweke vemainavyofanya terrorism
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sawa ili tufanye comparative analysis. Maana hii ripoti imetoka haraka sana.
   
 3. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,690
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  Naomba usaidie ili taarifa hii iwafikie madaktari wote, hasa rais wa MAT na katibu wa jumuia ya madktari
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ili mradi ulimboka yupo hai ndiyo inajua ukweli hiyo tume ni makanjanja tu.
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Madaktari wamo humu JF. wameshakusoma.
   
 6. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,690
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  Great kama wakijitokeza tuwe na uhakika ujumbe umewafikia. Sisi wananchi tuko bega kwa bega nao. Hatukubali terrorism ya serikali ya Tanzania kwa raia wake.
   
 7. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,690
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  Video hizo, moja ya kiingereza na nyingine ya kiswahili ziandaliwe haraka na kusambazwa ulimwengu wote ili dhamira ya kumumaliza Dr Ulimboka kwa kumuua isifanikiwe kwa kuwa dunia nzima itajua serikali inahusika.
   
Loading...