Ndungulile kabweka lakini kaliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndungulile kabweka lakini kaliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yusufummaka, Jul 13, 2012.

 1. y

  yusufummaka Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbwa anatabia ya kubwekea kila kitu kinachopita mbile yake hata kama uwezo wa kukikamata hana. Mbwa atambwekea hata chatu wakati akijua hatafua dafu kwa chatu na ataishia kuliwa. Fsi huwa anatabia ya kutoa adhabu ya kujambia vitu (mifupa, mawe) anavyoshindwa kuvitafuna ili kuviachia harufu kama adhabu.

  Mh. Ngungulile amejaribu kuibwekea hoja ya mji wa kigamboni bila mafanikio, akaliwa. Maskini sijui alikuwa anafahamu vema alichokuwa anabwekea. Anajua nani yuko nyuma ya Kigamboni? Nini madhumuni yake? kipi kimeshaliwa na kipi bado? Ona sasa, yuko nje ya mjengo. Utapotea kisiasa Mh. ina wenyewe. Najua unajua kubweka lakini bwekea sebuleni tena uvunguni mwa meza usitoke nje utaliwa. Kigamboni "zalongwa mbali zatendwa mbali"
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  ukiwafanyia performance evaluation wabunge wa CCM huyu atapata high score, fuatilia utagundua japo kaliwa lakini amepanda mbegu ambayo lazima itamea madhara yake utayaona baadae
   
 3. I

  Iramba Junior Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ndugu yangu kama bado una mawazo na mtazamo huo kweli tuna kazi kubwa ya kuanza na ukombozi wa kifikra kwa watanzania wengi!
   
 4. f

  fergusonema Senior Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  angekua wa CDM mngesema kafanya tendo la kishujaaa,haaa haaa haa
   
 5. D

  Dondoa Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siku hizi gia ya kupata umaarufu bungeni ni kutukana, kuzusha uongo, na kugoma kufuta kauli. kinachofuata hapo ni kufukuzwa/kuzuiwa kuhudhuria vikao, magazeti yana pick it up, ushakuwa maarufu!
   
 6. M

  Mnamzelu Miye Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaliwa Ndugai, subirini vita Serikali na jeshi la ziada, JWTZ ambao maisha yao wamewekeza Kigamboni, Ndugulile si kihiyo. Anajua anachokifanya, Kigamboni lazima kinuke. Mapinduzi ya kwanza kabla CDM, yatatoka Kigamboni , subirini muoneeeeeeee
   
 7. a

  andrews JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​sipendi nianze kukujasili ila ningefahamu uwezo wako kielimu ingenisaidia kuanzia pale kwa sasa napita
   
Loading...