TUNATESWA na DIVIDE and RULE TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUNATESWA na DIVIDE and RULE TZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, Jul 13, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana niliandika kuhusu article ya CHADEMA HATARI INAKUJA TAZAMENI.Watu wengi kwa kukurupuka walichangia hoja ile kijujuu pasipo kufikiri.Leo napenda kuwashauri wote wanaoumia na kutaka akina SLAA na MBOWE waliokamatwa leo eti wananchi waende kuwatoa pale CENTRAL POLICE.Ninachotaka kuwataarifu wale wasiojua nchi yetu kwa sasa UDINI ndio tatizo.UDINI umepandikizwa na SERIKALIi ndio maana leo WAISLAM wakisikia SLAA amekamatwa wao kwao ni tafrija so Wtz wenzangu SERIKALI ilianza kutugawa tangu mfumo wa siasa uanze na ndio maana UPINZANI haufanikiwi kwani unahusishwa na UDINI,UKABILA,UKANDA na MACHAFUKO.REJEA NCCR wakati MREMA anatamba,CUF kilipokuwa ngangari kwelikweli na sasa CHADEMA.SULUHISHO la haya ni Wtz wajitambue waamke na wakatae KUGAWANYWA vinginevyo ni NDOTO UPINZANI kushika HATAMU na hata kuandaa HARAKATI ya maana.Mungu ibariki Tz.
   
 2. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Hueleweki na mantiki hakuna.
  Halafu unatukana watu kwamba wanakurupuka.
   
 3. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hebu jieleze kiufasaha- Hauleweki
   
 4. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  toa maoni ww unatakaje
   
 5. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  huna hoja kaka jipange, wewe ndio una devide watu, au umetumwa na magamba?
   
Loading...