Tujikumbushe kwa haya kutokana na kukamatwa kwa Mbowe, Dr. Slaa na Lema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe kwa haya kutokana na kukamatwa kwa Mbowe, Dr. Slaa na Lema!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Curriculum Specialist, Jul 13, 2012.

 1. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  TUJIKUMBUSHE ANGALAU KWA HAYA
  1. Regnald Mengi alilalamika kwamba Polisi wanataka kumbambikiza mwanaye madawa ya Kulevya aliwataja mpaka majina ya Polisi waandaminizi na kiasi cha pesa walichopewa, cha ajabu si Reginald Mengi aliadhibiwa kwa kusema uongo wala si hao Polisi waandamizi walichukuliwa hatua ilihali Mengi alisema ana ushahidi.

  Kwa mtu mwenye akili timamu ni lazima ajue kwamba Polisi kweli walihusika ila kuogopa kuchafuka wakaamua kulimaliza hili suala chinichini, kama unadhani nakudanganya hebu jaribu leo Mtaje Polisi yeyote kwa tuhuma kama hizo ilihali si ya kweli utaona kitakachokutokea.

  2. Mwakyembe alitoa Taarifa Polisi mapema kabisa kwamba kuna watu wanataka kumdhuru akataja mpaka magari yaliyopangwa kumfanyia hayo madhambi, ikumbukwe pia unapotaja namba za gari inamaanisha umemtaja Muhusika, na Polisi walimwita kwa mahojiano akawapa ushirikiano,

  Lakini cha ajabu wakaendelea kuwasitiri wauaji mpaka wakatimiza adhma yao ambayo ilikwamishwa na madaktari wa India, kibaya zaidi Polisi haohao kupitia kwa Manumba wakachukua Jukumu la madactari wa Mwakyembe kuanza kuzungumzia ugonjwa wa Mwakyembe, unaikumbuka hii ilipelekea mpaka matamko ya Serikali kutofautiana kati ya Waziri wa Afya na Msemaji wa Polisi?

  Katika hali kama hii mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuendelea kuwaamini Polisi ndiyo maana hata siku moja nyumbani kwangu nikiwa na Tatizo siwezi kupiga simu Polisi, wakishindwa walinzi wangu basi ni bora nife.

  Nawachukia sana Polisi na the so called Usalama wa Taifa
   
 2. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kaka hapo umenena....

  Tatizo la sisi watanzania tunasahau upesi,,

  hebu fikiri eti watanzania wamesahau adha ya umeme walio ipata mwezi wa pili mwaka huu...

  Yaani ni matatizo matupu.......
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya yote yanamwisho. Serikali ya kifedhuli kabisa hii.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Umeseme kweli kabisa!
   
 5. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  20O% I concur with you!

  hii nchi sasa imekuwa ya kuviziana, kubambikiziana, kutishana, kuanzia serikali kuu , mpaka local govt!

  Ndio maana bado wananchi tupo katika lindi la umaskini, maana yasemwayo, hayatekelezwi, zaidi ya kutafuta wale wasema ukweli na kuanza kuwatisha, kuwatesa n.k

  2015 ni mbali sana, mimi sio mtabiri, lakini kabla ya hapo kuna balaa litaikumba Tanzania..utakuja kunikumbuka by this time
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi sana mkuu kwa upembuzi wako!! Naungana na wewe ngoja nisikilze wimbo wa NWA-F**k Da Police
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  I hate Polisiccm than a devil.
   
 8. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa Chadema waliokamatwa ni makini sana hawatakubali kutoa maelezo ambayo ni kama kumpa siri yako shetani,

  Matukio ya nyuma ni fundisho tosha, kinachotafutwa hapa ni kianzio cha kuwaziba kwenye media, kesho utasikia ooh watu wenyewe hawana hata ushahidi ni siasa tu,

  Lakini mpaka watu watoe tamko ujue kuna kitu, ipo siku Tz itakuwa na safu makini isiyoendeshwa kwa njaa.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,820
  Trophy Points: 280
  Na mengi alisema anaye ona ameonewa aende mahakamani wakafyata mkia na akasema ame wasamehe.
  Policcm ni wauaji wakubwa hawa wasio waku waamini kabisa yani hawajui wanaichimbia kaburi nyinyiemu.
   
 10. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kusahau huku kuna uhusiano ugumu wa maisha watanzania tulionao! Tunawaza sana juu ya mkate wa kila siku, hivyo ni vigumu kushikilia maswala muhimu ya kisiasa yanayoathili hata mkate wa kesho! Mungu atusaidie!
   
 11. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Kwa hili mwisho wa siku Kikwete tutamfananisha na Nduli Idd Amini
   
 12. f

  fergusonema Senior Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waeleze kwa kina kwanini walisema usalama wanataka kuwaua basi, huwezi kuwaacha watu wakawa wana take advantage of the circumstances kwa maslahi yao binafsi na kuchafua vyombo vya dola hilo halikubaliki,

  wenzao hawakukamwatwa coz walikua na ushahidi na walitoa ushirikiano, huwezi kunambia nataka kukuua halafu hutaki kuwa muwazi na kuelezea mazingira ya kutaka kuuwawa,siasa hizi za kitoto muache,

  Kazi yao usalama ni kua na habari ya yanayoendelea sio kila wakikufuatilia wanataka kukuua huu ni upuuzi sana, knowing what is goin on is their responsibility
   
 13. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Tukisema wanasema tunadanganya....sijui walitotolewa kama vifaranga au walizaliwa kwa mwendelezo wa kile kizazi Cha adam?? hapa pana jambo
   
 14. N

  Ng'wananshoma Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .Hey acha mambo yako hayo, kalale huna jipya
   
 15. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wao inteligensia ya kujua bila wanahitaji ni taarifa ambayo chadema wamewapa, hatukusuikia kuwa Mengi ametakiwa kwenda police kuthibitisha kuwa waliyosema ni kweli au la! Hiyo haikuwa kazi ya Mengi, hivyo si kazi ya viongozi wa chadema kuthibitisha ni kazi ya police! Waache kutumia vyombo vya dola vibaya na kwa upendeleo!
   
 16. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli kuwa na Rais DHAIFU!.....
   
 17. m

  miti Senior Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35


  Hawezi kufananishwa kama Idd Amini mara mbili hadi hapo tu tayari kishakuwa Idd Amini yeye na polici wake, kaniudhi sana hadi leo naugulia maumivu ya lisasi tulizopigwa Arusha, ila sikiachi chama changu hadi kieleweke,

  Kikwekwe asidhani kuwa Watanzania bado tumekuwa na woga hapana woga umeisha kipindi cha matukio matukio ya Arusha. Cha msingi akazane kutukomaza na hatutaacha kutetea haki zetu hizi damu zetu tulizozimwaga watu wa Arusha atazikuta mbele ya haki, na nyie polisi msifikili mnasifiwa.

  Msidhani yinyiemu itabaki badarakai milele yote kumbukeni kuwa siasa ni sawa na kulala usingizi, unalala ubavu wa kulia, unageuka ubavu wa kushoto mwisho unalala chali. Nawashangaa sana hivi mtakuwa wageni wa nani nyie mnanishangaza sana! Kikwekwe anawadanganya na nyie mnadanganyika au hamuyajui majukumu yaliyowaleteni kituo cha polisi?

  Tendeni haki sawa mtakuja jijutia nyie na mtaponza hadi ambao hawakuhusika.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  utakufa na chuki yako wakati watu wakiendelea kudumisha amani ya nchi na kulinda maisha ya watanzania.
   
 19. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu hapo umenena, hata hawa viongozi wetu wanaohojiwa sidhani kama kuna lolote litakalotendeka, ndio tatizo letu tunasahau mapema na upesi sana
   
Loading...