Mbunge wa Kisesa, Luhanga Mpina (CCM) kutopiga kura ya kupitisha bajeti 2012/2013 umeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Kisesa, Luhanga Mpina (CCM) kutopiga kura ya kupitisha bajeti 2012/2013 umeishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Jul 13, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa Kisesa, Luhanga Mpina (CCM), amejitokeza na kueleza msimamo wake wa kutopiga kura ya kupitisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013.

  Akizungumza na Tanzania Daima mjini Dodoma jana, Mpina alisema kuwa aliendelea kuwa na msimamo wake kutokana na serikali kushindwa kujibu hoja zake za kuongeza fedha katika mpango wa maendeleo ya taifa wa miaka mitano.  Mbunge huyo alisema hoja yake kubwa ni kutaka fedha za maendeleo ziongezwe toka sh trilioni 2.2 kufikia trilioni 2.7 kwa fedha za ndani ili kukidhi mahitaji ya fedha zinazohitajika kutekeleza miradi mbalimbali iliyoainishwa katika mpango wa maendeleo wa miaka mitano kwa mwaka wa fedha 2012/2013.

   

  Attached Files:

Loading...