MKANKULE
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 418
- 94
Mara nyingi sana nikiwa nafuatilia bunge nimekuja kugundua kwamba wabunge wa upinzani wanapoomba mwongozo, au kuhusu itaratibu, pengine hata baada ya kuchangia hoja mbalimbali kuwa wanaambiwa wanatafuta umaarufu, mfano wiki iliyopita Tundu Lisu aliambiwa acha kutafuta umaarufu,
Jana nimemsikia Naibu WA spika akimwambia HALIMA MDEE aache kutafuta umaarufu. Sasa mimi naomba kujua hivi umaarufu unatafutwa? Na je, kama mtu ni maarufu tajari kuna haja yoyote ya kutafuta umaarufu.
Je, mtu akifanya jambo gani ndio atambulike kuwa ni maarufu. Hivi mbunge yeyote kwa kupitia nafasi yake si tayari ni mtu maarufu? AU tuseme kwamba CCM wanapozidiwa na hoja za wapinzani huwa wanaona kwa kusema hiloo neno ndio kujibu hoja zenyewe au kumdhalilisha huyo mbunge.
NAOMBA KUWASILISHA