nyumba za bei nafuu

nyumba za bei nafuu

Domain Name

Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
12
Reaction score
4
hali zenu wenyeji, wakuu nimefurahishwa sana na mjadala uliokuwa unaendelea bungeni wa wizara ya adhi na makazi, katika kuiunga mkono wizara nimeona ni nafasi pekee ya kuwasaidia watanzania katika kupata design za nyumba za gharama nafuu wakati comfortability ikiwa imetekiwa konsidaresheni. kwa wadau wote wanaotarajia kujenga(nyumba bora) hawana haja ya kuangaika wapi wapate design bora kwa bei nafuu pia ushauri wa jinsi ya kujenga nyumba bab kubwa. karibuni sana mpate huduma bora.samples ntawashushia,pia tembelea website hapo chini. :: WELCOME TO MAKAZIBORA.COM ::
 
Mkuu hii ungeweka kwenye matangazo au kule uchumi biashara ingekuwa bomba zaidi
 
Back
Top Bottom