Wanabodi,
Please watch TBC-leo saa 4:00 usiku (not exactly!) Mwana JF mwenzetu, William Malecela atazungunzia kuhusu
1. Baada ya CCM kutawala kwa miaka 50, wish yake ni CCM itawale kwa miaka 50...
Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
Kuna ugomvi mkubwa umeibuka wizara ya michezo na utamaduni ambako kuna maofisa wa ngazi ya juu zaidi ya 20 na wanasiasa wanaotaka majina yao yawepo kwenye hii ziara ambayo wote tunajua hakuna...
Miaka ya hivi karibuni (about three years back) kumekuwepo na funding nyingi sana katika miradi ya uzazi wa mpango kutoka kwa hao wanaojiita wadhili wetu. Miradi mingi ya uzazi wa mpango...
Baada ya migomo ya madaktari kutokea mara kwa mara nchini niliona ni vema niangalie mtaala unaotumika kufundishia wataalamu hawa muhimu. Niliangalia mitaala ya MUHAS, KCMC, na HKMU kwa uchache...
Kwani kuna umuhimu wa wao kuongea kiingereza kama hawakijui?
Number 1 cuplrit ni Spika na naibu wake
na mbaya zaidi miswada karibuni yote inachapishwa kwa kiingereza kigumu kwa mtu wa kawaida...
NIMESHANGAZWA HABARI YA ITV SAA MBILI LEO KUA WAPIKA GONGO WALIOMBA KIBALI CHA KUZINDUA KILABU CHA KUUZIA GONGO HIYO KWA SERIKALI YA MTAA PIA POLISI HUA WANACHUKUA POSHO KATIKA VIBANDA HIVYO KILA...
baraza kuu la uongozi Taifa litakutana kesho kwa kikao siku mbili ambapo litajadili mada ajenda kumi, ikiwamo na mgomo wa madaktari unaoendelea ambapo kikao hicho kitakuwa chini ya mwenyekiti Prof...
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Tanesco, Robert Mboma amekataa kuhudhuria mkutano wa waandishi wa habari unaotarajia kumsimamisha kazi...
Mchekini Mh. Tindu Lissu anavyo kandamiza Magamba Bungeni now...
Ananukuu matukio mengi sana hasa rushwa za uchaguzi, Uteuzi wa wakuu wa wilaya na Mikoa ambao woote ni wabunge wa viti maalumu...
Kutokana na tabia za uongo za viongozi hawa wawili huku wakipigiwa hapuo na Waziri Mkuu aliyekuwa mtoto wa Mkulima Pinda na Raisi wa nchi Mh. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete anayejulikana kwa uzururaji...
Wakati wa mjadala wa bunge kujadili makadirio ya wizara ya sheria na katiba kuna mbunge kutoka kanda ya ziwa (sikumbuki jina lake) aliilalamikia kamati ya uratibu wa katiba ya warioba kuwa imekuwa...
Swala la Dr Ulimboka si dogo linaweza kuangusha serikali. Hali ya nchi itakavyokuwa kesho baada ya revelation ya Mchungaji Gwajima si ya kawaida. Lets wait and see
DR. SLAA AT THE KAS-DAY Also available in Deutsch
50 years of worldwide democracy - under this slogan renowned politicians from Germany and across the world looked back on the "impressive success...
MCHUNGAJI NGWAJIMA TUNAOMBA MAELEZO
Ni kweli kuna mtu alikuja kutubu na kueleza dhambi zake kwako na ukamtosa kwa kumpeleka polisi? iweje aje kanisani kwako na si kwingine au ndio uhusiano...
Amin usiamini ule usemi ukisema wa nini watu wanasema ntampata lini. Willium Le Mutuz ameweza kufanya ze shughuli ya fundrising yaani it was whassuo. Watu kibao ghosh inatisha watu kibao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.