Family planning na uhuni wa wazungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Family planning na uhuni wa wazungu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Santo, Jul 11, 2012.

 1. S

  Santo JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 499
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Miaka ya hivi karibuni (about three years back) kumekuwepo na funding nyingi sana katika miradi ya uzazi wa mpango kutoka kwa hao wanaojiita wadhili wetu. Miradi mingi ya uzazi wa mpango imepelekea hata kujitoa kwa wafadhili wengi katika funding za HIV/AIDS na Malaria.

  Hii ina maana kuwa watu wengi sasa watakufa kwa malaria na HIV/AIDS na kufa kwa watu Tanzania (kama si third world yote) kunamaanisha kupungua kwa idadi ya watu duniani. Sasa basi kwa ufadhili mwingi katika uzazi wa mpango maana yake ni kwamba watu wasizaliwe na mwisho wa siku ni kwamba idadi ya watu Tanzania (kama si 3rd world yote) izidi kuwa ndogo siku hadi siku.


  Msingi wake mkuu ni kwamba africa has been blessed with a lot of natural resources like gas, fuel, minerals, land, lakes etc. All of these resources are being shared with white men (Si kila siku wanachuma bure kutokana na ushenzi wetu?) na ili hizi resources zitoshe ni lazima tuwe wachache au tuendelee kuwa wachache na ndo wanafanya kila jitihada tuendelee kupungua either kwa maradhi au uzazi wa mpango.Ukweli ni uzazi wa mpango tunauhitaji lakini ni kwa kidogo sana na si kama unavyopigiwa kelele. UZAZI WA MPANGO KWA MUJIBU WA UFADHILI WA WAZUNGU NI FOR PROPER EXPLOITATION AND WISELY SHARING OF 3RD WORLD RESOURCES. TAFAKARI.
   
 2. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,179
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Updating the Anti-Virus! Please wait.......
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Santo,

  Nadhani itabidi ujipange upya kwakuwa ulichoeleza haki make any sense.

  Imagine Tanzania ingekuwa na watu millioni 8 si tungeishi kwa bata sana pamoja na ufisadi uliopo.
   
 4. B

  Bwanamdogo Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno
   
 5. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Nafurahi kuamini kuwa wewe ni kidume, sasa basi kama una uwezo wa kuzaa watoto mia na kuwatimizia mahitaji yao ya msingi basi wewe zaa, hakuna kifungu kwenye katiba kinachokukataza kuonesha urijali wako, hayo mengine ya wazungu achana nayo..
   
 6. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 5,994
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Serikali inapoteza pesa nyingi kwa kununua Contraception. badala ya kununua madawa ya HIV, MALARIA ambazo zinapoteza man power nying

  Contraception - sin kwa Roman Cathoric

  Vijana wengi wanajiingiza kwenye mapenzi na umri mdogo ; kisa vidonge vya kukinga na mimba vipi.


  Mayai ya kina mama ni machache - Ugumba mbeleni

  Hospitali za utoaji mimba zinaongezeka na kupunguza badala ya hospitali za kuhudumia Huduma ya kwanza

  Swala la utoaji mimba alitakuwatena la kificho (maadili yanatoweka)

  Tunatumia pesa nyingi kwenye mambo ya mpango badala ya sera ; China imeendele kwa wingi wa watu. huakika wa soko n.k
   
 7. T

  Turbulence Senior Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ivi family planning ipo katika priority za nchi? Ni huduma gani za afya ambazo wananchi wanazihitaji zaidi? For sure family planning haipo hata katika kumi bora.
   
 8. s

  servantj Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hawa waliokuja na hizi pingamizi nao bunyeye tu. Eti gharama za contraception ni nyingi over ya kununua ARV for HIV? what is the best solution?...prevention of the HIV/AIDS by providing contraceptives or kusubiri wapate HIV/AIDS ili wawape ARV? eti vijana wanafanya ngono sana coz of contraception? yes, kufanya ngono katika umri mdogo na before marriage is not acceptable in our culture, but ukichekecha kufanya hivyo would lead to an increase of teen pregnancy and teen motherhood, ambapo itawalazimu pia serikali kuwasaidia. Japo mimi si mshabiki wa utioaji mimba, nachosimamia ni kwamba, kama utoaji wa mimba upo utakuwepo tu hata wakiondoa family planning, tena ndio zitaongezeka. better prevention than seen vijana wa kike wakipata mimba za ovyo, then kufa au kuwa infertile kwa sababu ya utoaji mimba. Those are not convincing arguments to me.
   
 9. S

  Santo JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 499
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Think before you act. Nadhani wengi hamjanielewa, family planning ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa. My point ilikuwa ni kwamba lengo la wazungu kwa ufadhili wao kwetu. What do they benefit for funding family planning activities in 3rd world? Nothing goes for free.
   
 10. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 5,994
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  watu wa mungu alizama tujaze dunia
   
 11. l

  luvara Senior Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  :bolt:Nchi ikiwa kubwa kama yetu na idadi ya watu ikawa ndogo na wakaishi kwa msambao kama ilivyo hapa TZ hawawezi kula bata.Je, uasafiri maeneo yenye watu wachache ukoje? Kwa kawaida ipo population ambayo inaweza kusapoti maendeleo na TZ iko underpopulated. Hakuna nchi hata moja duniani yenye population density ndogo na imeendelea. Mfn Japan, Uingereza Population density huko ni kubwa sana.
   
 12. T

  Tom JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama vile serikali yako imelazimishwa kua funded.

  Lkn tukumbuke kua serikali ya CCM ni fisadi hata kwa fedha za wafadhili hivyo malengo ya wafadhili pia hayatafanikiwa labda waje waongoze wenyewe.
   
 13. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 641
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huku watu wakiwa wengi watakimbilia Ulaya hawataki
   
Loading...