Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

Status
Not open for further replies.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,570
Wanabodi,

Please watch TBC-leo saa 4:00 usiku (not exactly!) Mwana JF mwenzetu, William Malecela atazungunzia kuhusu
1. Baada ya CCM kutawala kwa miaka 50, wish yake ni CCM itawale kwa miaka 50 mingine ijayo!.
2. Majukumu ya JF as Social Media!.
3. Kwa nini JF ni watu wa kulaumu tuu serikaki na sio kuisifia!.
4. William Anaamini CCM inapendwa na Watanzania na CCM kama chama hakina, matatizo na watu bali matatizo ya CCM ni personalities za baadhi ya viongozi only!.
5. Pia amefanya ukosoaji wa CCM ili iweze kutawala miaka 50 Ijayo!.

NB. Wana JF wenzangu, nawaombeni sana tujenge utamaduni wa "Political Tolerance" kwa kuvumiliana, kustahamiliana na kupingana bila kugombana kati kati ya watu wenye milengo tofauti ya kisiasa.

NB. Sio kipindi kuhusu jf bali ni "wrap up" ya 10 series zangu ziitwazo " Saba Saba na PPR" na nilipokutana na William nilim beg for his comments na akakubali!. I thank him for that!.

My Take:
Wana jf wengi ni watu wa maneno marefu na matendo mafupi!. Nilipokutana kwa mara ya kwanza na William pale Dodoma, nilimpongeza kwa kuwa ni miongoni mwa wana jf wacheche wenye "guts na waliotake that "extra step" to move toka kwenye maneno hadi kwenye vitendo kwakuingia kwenye kwenye "ground zero" ya "active politics" ndani ya uwanja wa mapambano!. Anastahili a big "Big UP!" and not a subject of ridicule!.

Please take time to watch him, listen to him in "betwen the lines", mtakubaliana na mimi kuwa huyu Mkuu William sio mtu wa kubezwa hata kidogo!. Japo I personally don't share with him comments za " Le Grand Mutus", " The Big Show!" and the like!.

" Please lets take him for "Who he is" not for "What he is"!.

Thanks.

Pascal.
Up Date 1!.
Very Unfortunately Kipindi hiki hajitakuwepo due to "un avoidable circumstances"!.

Kipindi kilirekodiwa tarehe 08/07/2012 na kilikuwa kitoke ile ile tarehe 8, kukatokea "technical problem" kipindi hakikwenda!.

Jana tarehe 9 kilikuwa kiende, lakini kukatokea " Technical problem" hakikwenda!.

Leo tena kilikuwa kiruke kuanzia saa 4:00 usiku huu lakini kumetokea tena a " technical problem" kipindi hakijarushwa!. na kwa vile the "theme" was "Vox Pop" ya " mrejesho" wa maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam!.

Kwa vile maonyesho yamenalizika toka Jumapili, ladha ya mrejesho ni sponteneity ya pale kwa pale!. Mrejesho wa 3 days after is pointless hivyo sidhani kama kipindi hicho kitakuja rushwa!.

Sorry for a all inconveniences caused!.
Update 2.
Ni kweli program ina technical problem ya ku-stuck stuck ila inarushwa na clip ya William imeruka!.

Update 3.
Nimei upload on Youtube ila sorry for the quality ni very poor. Original Clip iko kwenye HD, ku upload kwa kutumia hivi vi modern vyetu would take ages. Hivyo nime upload on tiny format. Nikipata muda kupita pale costech, nita replace na beter quality!.

<iframe width="420" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/2Nkp9kR8SnI" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

Pascal.
 
Huyo jamaa hastahili kupewa macho na masikio yetu.. he iz pointless na ni mchumia tumbo ambaye anajua nini anakifanya
 
haitabadilisha kitu...Jk na serikali yake ni Dhaifu....hata huyo cjui ndio le mutus ni gamba tu.....Vaa gwanda Vua gamba..
 
Wanabodi,

Please watch TBC-leo saa 4:00 usiku (not exactly!) Mwana JF mwenzetu, William Malecela atazungunzia kuhusu
1. Wish yake kuwa CCM itawale kwa
miaka 50 ijayo!.
2. Majukumu ya JF as Social Media!.
3. Kwa nini JF ni watu wa kulaumu tuu
serikaki na sio kuisifia!.
4. William Anaamini CCM inapendwa na
Watanzania na CCM kama chama hakina
matatizo na watu bali matatizo ya CCM
ni personalities za baadhi ya viongozi
only!.
5. Pia amefanya ukosoaji wa CCM ili iweze kutawala miaka 50 Ijayo!.

NB. Wana JF wenzangu, nawaombeni sana tujenge utamaduni wa "Political Tolerance" kwa kuvumiliana, kustahamiliana na kupingana bila kugombana kati kati ya watu wenye milengo tofauti ya kisiasa.

NB. Sio kipindi kuhusu jf bali ni "wrap up" ya 10 series zangu ziitwazo " Saba Saba na PPR" na nilipokutana na William nilim beg for his comments na akakubali!. I thank him for that!.

My Take:
Wana jf wengi ni watu wa maneno marefu na matendo mafupi!. Nilipokutana kwa mara ya kwanza na William pale Dodoma, nilimpongeza kwa kuwa ni miongoni mwa wana jf wacheche wenye "guts na waliotake that "extra step" to move toka kwenye maneno hadi kwenye vitendo kwakuingia kwenye kwenye "ground zero" ya "active politics" ndani ya uwanja wa mapambano!. Anastahili a big "Big UP!" and not a subject of ridicule!.

Please take time to watch him, listen to him in "betwen the lines", mtakubaliana na mimi kuwa huyu Mkuu William sio mtu wa kubezwa hata kidogo!. Japo I personally don't share with him comments za " Le Grand Mutus", " The Big Show!" and the like!.

" Please lets take him for "Who he is" not for "What he is"!.

Thanks.

Pascal.

Anatapatapa ili apate madaraka kwanini tuandikie mate wakati wino utakuwepo Mwezi Ujao? Si ndio Uchaguzi wa NEC

Taifa? Tuoene kama Atashinda. Kwanza Hampendi LOWASSA unaijuia hiyo kaitoa wapi

a. from dear father aliposhidwa

b. kwa rais mtawala baada ya LOWASSA kujiuzulu.

Tangu amerudi ametapatapa sana, na yeye pia ana Maadui; na kwenye Mtanzania walimuweka kuwa ni Mmoja

ya Wajumbe ambao hawakuweza kuongea kiingereza kizuri na pia hakuweza kujibu maswali, alisema pardon me

mara 5; kuonyesha kutokuelewa kwake hilo swali.

Walimsifia Makongoro Nyerere na Shyrose Bhanji na Adam Kimbisa...

Sasa Wabunge wa CCM wanaambiana wakifika NEC haya tungojeeee.

* Uzuri ameiacha familia yake New York; kwahiyo ana return ticket; moto ukiwaka najua ataruka yeye Mpenzi wake ni MIRAJI KIKWETE

na sio RIZ1; Sababu rafiki wa RIZ1 aliyeshidwa EAC ni Mkuu wa Wilaya Korogwe; Kwahiyo hawezi kuambulia cheo toka kwa MIRAJI

labda TOTOZ

[ AS LONG AS JAMII FORUMS INATAJWA LABDA ITAKUWA CHIMBUKO LA WANASIASA KUJA KUSOMA MAONI YETU YA HEKIMA

NA LABDA ITABADILISHA SURA YA NCHI YETU]
 
Phew... !! This isn't the chap I knew before. Just like Mkamia, you have been recruited into the rotten system of Mr. Dhaifu and completely lost touch with the reality !! Shame upon ya' all !!

mkuu pascal anaomba political tolerance!
 
Mkuu personally siwezi kuwa na 'political tolerance' kwa mtu sampuli ya W. J. Malecela. I am pretty sure there is some thing in his brain that makes him to impair. Pia na wewe Pascal unajishushia adhi kwa kuwa karibu na mtu huyo...
 
bora nikamwangalie bib yangu anavyovuta GOZO, kwani bwana Le Mutuz Le Baharia Ze Big Shooow ( A.K.A KIPENZI CHA WALIMBWENDE ) Hana la maana analoWeza sema kuhusu mwelekeo wa siasa za Tanzania, USHAURI WANGU KWA Bwana Kipenzi cha walimbwende AHAMIE BONGO MOVIE
 
Pasco,
Duh wa mujini ama kweli waache wenyewe maana kwanza umekandya halafu umkapaka mafuta ya nyayo mtu mzima apumue...Jambo moja watu wengi wanashindwa kumwelewa Mutuz ni kwamba huyu alikuwa baharia kama Karume kuna uhuni fulani lazima wawe nao kama gerezani maana kule ni madume matupu hadi wafike nchi kavu..Wanaomjua Karume ama mabaharia watakwambieni vizuri..

Sasa inapowawasha wengi ni maneno ya Kichaa wangu, hivi ndivyo alivyo na ndivyo mabaharia walivyo...Baharia hawezi kuwa mfupi wa sifa, Misifa na Kujikweza kama jamaa zangu wa BK - watakujuaje?.. Inabidi umwelewe maana dunia ya leo hutoki kama huna sifa...Wanasema hustla hafi maskini...
 
Mkuu Pasco Mayalla, Najua umejitwisha jukumu la kuwa Katibu Muhtasi wa Huyo Mtoto wa Kambo wa Mama Kilango, ila all in all, Mwisho wa CCM yenu kuwa Madarakani ni 2015, msipoangalia hata hiyo 2015 hamtafika, na pale Mjengoni Sam Nujoma karibu na Njia panda ya Chuo utapasikia Bombani tu
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Please watch TBC-leo saa 4:00 usiku (not exactly!) Mwana JF mwenzetu, William Malecela atazungunzia kuhusu
1. Wish yake kuwa CCM itawale kwa
miaka 50 ijayo!.
2. Majukumu ya JF as Social Media!.
3. Kwa nini JF ni watu wa kulaumu tuu
serikaki na sio kuisifia!.
4. William Anaamini CCM inapendwa na
Watanzania na CCM kama chama hakina
matatizo na watu bali matatizo ya CCM
ni personalities za baadhi ya viongozi
only!.
5. Pia amefanya ukosoaji wa CCM ili iweze kutawala miaka 50 Ijayo!.

NB. Wana JF wenzangu, nawaombeni sana tujenge utamaduni wa "Political Tolerance" kwa kuvumiliana, kustahamiliana na kupingana bila kugombana kati kati ya watu wenye milengo tofauti ya kisiasa.

NB. Sio kipindi kuhusu jf bali ni "wrap up" ya 10 series zangu ziitwazo " Saba Saba na PPR" na nilipokutana na William nilim beg for his comments na akakubali!. I thank him for that!.

My Take:
Wana jf wengi ni watu wa maneno marefu na matendo mafupi!. Nilipokutana kwa mara ya kwanza na William pale Dodoma, nilimpongeza kwa kuwa ni miongoni mwa wana jf wacheche wenye "guts na waliotake that "extra step" to move toka kwenye maneno hadi kwenye vitendo kwakuingia kwenye kwenye "ground zero" ya "active politics" ndani ya uwanja wa mapambano!. Anastahili a big "Big UP!" and not a subject of ridicule!.

Please take time to watch him, listen to him in "betwen the lines", mtakubaliana na mimi kuwa huyu Mkuu William sio mtu wa kubezwa hata kidogo!. Japo I personally don't share with him comments za " Le Grand Mutus", " The Big Show!" and the like!.

" Please lets take him for "Who he is" not for "What he is"!.

Thanks.

Pascal.

count my comment also. zimefika ngapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom