Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
3.JPG

03.jpg

Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
 
Nimeziona hizo picha nikawa nasubiri kuona mabasi ya wafuasi wa CCM yakifuata nyuma. Si unaelewa tena CCM kwa kupenda usafiri wa mabasi?
 
01.jpg

1.jpg

Watoto ndio imekuwa target ya CCM kujazia nafasi kwenye mikutano yao. Hawa ni malaika wasiojua yanayoendelea, wakishakua watakuwa na fikra nyingine dhidi yao.

Nakumbuka bado maneno aliyotoa mwandamizi Mzindakaya alipojing'atua kugombea ubunge jimboni kwake, kwamba anataka kupumzika. Aliishoshea CCM na kusema imepotea njia na hawa tunaowasomesha shule za Kata ndio watakao iondoa CCM madarakani. Maneno ya mzee huyu ni kama mwiba kwani yanayojilia sina haja ya kuyaanika hapa.

I can see Nape with crocodile smile.
Nafurahi sana kuona ccm inavyokufa mikononi mwake kwani layman solutions anazozitumia zitakumbukwa siku ya mazishi na yeye pia atakumbukwa kuwa ndiye mshiriki mkubwa ktk mauaji haya ya marehemu ccm.
 
Huo ni mwono wa wachache. Badala ya kukazana kutekeleza ilani ya uchaguzi yeye anahangaika kuuza sera kama wapinzani wanaonadisha sera ili kupata ridhaa ya kukubaliwa na wananchi kushika dola. Kuna tofauti gani ya kinachofanyika kwa vyama vya upinzania na utendaji wa Nape kufuata nyuma kujaribu kufuta nyazo za wapinzani bila mafanikio?
 
01.jpg

1.jpg

Watoto ndio imekuwa target ya CCM kujazia nafasi kwenye mikutano yao. Hawa ni malaika wasiojua yanayoendelea, wakishakua watakuwa na fikra nyingine dhidi yao.

Nakumbuka bado maneno aliyotoa mwandamizi Mzindakaya alipojing'atua kugombea ubunge jimboni kwake, kwamba anataka kupumzika. Aliishoshea CCM na kusema imepotea njia na hawa tunaowasomesha shule za Kata ndio watakao iondoa CCM madarakani. Maneno ya mzee huyu ni kama mwiba kwani yanayojilia sina haja ya kuyaanika hapa.

Duh! Kweli magamba iko ICU!!!!!
 
Hahahaa! KUJIDANGANYA WENYEWE NA KUJARIBU KUWADANGANYA WAFADHILI WENU NI SIFA HALISI YA VYAMA VYA WANA HARAKATI.... NA HASA BAADA YA KUONA KUWA UONGO WA MWANZO UNAKOSA MASHIKO. OOOH CCM IMEKUFA!!!NIMEINGIA SONGEA WENYEWE MMEFYATA MKIA KWA MSHANGAO JINSI WATU WALIVYOJITOKEZA MKUTANONI, HALAFU HAKUNA MATUSI SERA TU.
MKAWA MNADANGANYA WATU MNAYO NJOMBE YOTE, MKUTANO WA JANA NJOMBE UMEWAUMBUWA SANA SANA.
MMEBAKI NA DUA LA KUKU, POLENI SANA.
NARUDIA SIWASHANGAI KWANI NDIO TABIA YA VYAMA VYA WANAHARAKATI.

UOTE=Candid Scope;4001152]
3.JPG

03.jpg

Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.[/QUOTE]
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
 
Hahahaa! KUJIDANGANYA WENYEWE NA KUJARIBU KUWADANGANYA WAFADHILI WENU NI SIFA HALISI YA VYAMA VYA WANA HARAKATI.... NA HASA BAADA YA KUONA KUWA UONGO WA MWANZO UNAKOSA MASHIKO. OOOH CCM IMEKUFA!!!NIMEINGIA SONGEA WENYEWE MMEFYATA MKIA KWA MSHANGAO JINSI WATU WALIVYOJITOKEZA MKUTANONI, HALAFU HAKUNA MATUSI SERA TU.
MKAWA MNADANGANYA WATU MNAYO NJOMBE YOTE, MKUTANO WA JANA NJOMBE UMEWAUMBUWA SANA SANA.
MMEBAKI NA DUA LA KUKU, POLENI SANA.
NARUDIA SIWASHANGAI KWANI NDIO TABIA YA VYAMA VYA WANAHARAKATI.

UOTE=Candid Scope;4001152]
3.JPG

03.jpg

Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
[/QUOTE]

Haaa!!! Nape,,,,,weka hizo picha za mkutano wako wa huko Njombe ili tuone tofauti ya picha hizi na za huo mkutano, eti unaishia kukopi picha za hao unaowaita wanaharakati.

Lete kitu tofauti hapa tukuelewe, na hapo SONGEA uliwafuma akina mama na vijana wachache ambao hakika hawana dira ya kimapinduzi, nadhani uliwatoa huko vichochooni.
 
aisee we jamaa ni mbishi mpaka unafurahisha...dokta feki? are you sure..na madokta wa kutunikiwa wasemaje....ila ubsihi wako unafurahisha sana kama comedy vile
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
Nape, kwani kwa upande wa Chama sasa hivi ngome ipo wapi? Vijijini au wakulima na wafanyakazi?
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

avatar11941_3.gif

Nape umeona Tandahimba hiyo funika mbaya ya Dr. Slaa?

1.jpg

Umati wa wananchi huko Tandahimba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Slaa.
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

wewe nape pembeni ya hiyo barabara ni nyumba ya diwani wako au ndio arizaidi kasizaidi!
 
avatar11941_3.gif

Nape unaona tofauti kati ya picha hizo mbili kati ya mkutano wako huko Njombe na mkutano wa Dr. Slaa huko Tandahimba?

03.jpg

1.jpg

Nape, kati ya picha hizo mbili ukiwaangalia wasikilizaji, ni mkutano upi katika picha hizo mbili watu wanaonekana kuvutwa na hisia zaidi? Wanaonekana kuvuwa zaidi na Nape au Dr. Slaa?
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Mkuu nakuaminia maana ni wachache sana wenye uwezo wa kuingia kwenye lion cage na ku-fight. Ila hapo nilipo bold umekuwa too low, usingeweka maneno hayo ungeonekana kiongozi unaejua ku contain hasira na pengine ungejipambanua kuwa mbali zaidi na malusinde yanayotumiwa na makada wengi wa CCM kama njia ya ku-vent baada ya kuzidiwa hoja. Tukianza kuhesabiana madaktari feki Tanzania CCM itakuwa ni victim nambari wani.
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
Hivi zile sera zako za kuwavua wenzako magamba zilizimikia wapi?? Mbona unahangaika sana wakati wenzako walikwishakwambia kuwa wewe ni kansa ndani ya chama chenu cha magamba?
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Nape unathubutu kumwita Dr wa ukweli feki wewe kijana wewe....sasa na hao wa kwenu wanaojipeleka kupewa vijidigrii kwa vitu ambavyo havipo ndiyo wa maana kuliko huyu aliyekamua vitabuni?

Duh! Saa zingine CCM muwe mnatumia akili ya kawaida tu badala ya kuwatukana watu wenye heshima zao. Na utapata somo tu tutakavyowabwaga 2015.
 
Back
Top Bottom