Show love kwa Dr. Ulimboka kwa kususia ibada ya mchungaji Gwajima

baajun

Senior Member
May 19, 2012
199
6
MCHUNGAJI NGWAJIMA TUNAOMBA MAELEZO

Ni kweli kuna mtu alikuja kutubu na kueleza dhambi zake kwako na ukamtosa kwa kumpeleka polisi? iweje aje kanisani kwako na si kwingine au ndio uhusiano ulionao na chama na serikali, maana hata mkutano wa jangwani (cdm square) wa kuijibu chadema ni vyombo vyako vilitumika. umeamua na hili kuwasaidia kulibeba pia ikiwa ni mchango wako kwa hii serikali. tunaomba majibu kama si leo kesho ibadani kwako tupime.

KAMA HAYA NI KWELI NA HUTATOA UFUMBUZI LEO;

WAUMINI WA NGWAJIMA INABIDI TUMSUSIE KANISA LAKE- SHOW SOME LOVE KWA DR. ULIMBOKA KWA KUTO KWENDA KANISANI KWA NGWAJIMA KESHO.
 
Mbona hueleweki? Nilidhani labda ungesema tuonyeshe upendo kwa Dr. ulimboka kwa kususia serikali yetu, kwani waliomteka na kumtesa Ulimboka ni Gwajima au serikali kupitia vyombo vyake vya usalama?. acha kupotosha hbabari au umetumwa na CCM?
 
Mbona hueleweki?
Nilidhani labda ungesema tuonyeshe upendo kwa Dr. ulimboka kwa kususia
serikali yetu, kwani waliomteka na kumtesa Ulimboka ni Gwajima au
serikali kupitia vyombo vyake vya usalama?. acha kupotosha hbabari au
umetumwa na CCM?

Mie nadhani huyu bwana kapatwa na tatizo la tope kuingia ubongoni!
Ukiona hivyo ujue uwt wameshindwa kumzuia gwajima asitoe tamko kesho.
 
MCHUNGAJI NGWAJIMA TUNAOMBA MAELEZO

Ni kweli kuna mtu alikuja kutubu na kueleza dhambi zake kwako na ukamtosa kwa kumpeleka polisi? iweje aje kanisani kwako na si kwingine au ndio uhusiano ulionao na chama na serikali, maana hata mkutano wa jangwani (cdm square) wa kuijibu chadema ni vyombo vyako vilitumika. umeamua na hili kuwasaidia kulibeba pia ikiwa ni mchango wako kwa hii serikali. tunaomba majibu kama si leo kesho ibadani kwako tupime.

KAMA HAYA NI KWELI NA HUTATOA UFUMBUZI LEO;

WAUMINI WA NGWAJIMA INABIDI TUMSUSIE KANISA LAKE- SHOW SOME LOVE KWA DR. ULIMBOKA KWA KUTO KWENDA KANISANI KWA NGWAJIMA KESHO.

hujaeleweka kamanda.
Ngoja nijiandae kesho niwepo,Kova na team yake hawafai yaani wanammbip hata Gwajima?
 
mh, huyu mchungaji nae 'tempted to touch tu" sasa kama mtu kaja kwako kutubu na kuomba msamaha, iweje umgeuke na kumwitia polisi?????????
maadili ya uchungaji yako wapi??
manake kama nijuavyo mimi na hata kwenye maandiko, baada ya huyo Culprit kukiri kwa mchungaji kwamba amekosa na anahitaji msamaha, baas mchungaji kwa kumsaidia angemwambia tu amtafute Dr Ulimboka nae pia amuombe msamaha na sio kumuitia hao washirika wake akina Komba, oh sory i mean Kova..

Yani michezo kama hii tuliicheza utotoni tukizani wazee hawatojua kumbe washashtuka na kwa kawaida njia ya MWONGO ni ndefu ila ni fupi sana,
ushauri wangu kwa serikali na policcm, "UKIWA MTU WA KUDANGANYA/MUONGO, BASI UJITAHIDI KUTUNZA KUMBUKUMBU"
 
Jamani hamjaelewa ule uzi ambao mods wameutoa? Gwajima anadhalilishwa hatumiki hapa! TISS wanamdhalilisha!
 
we vipi ningekuwa dar ningeenda.aujamsikiliza m2 unasema tsiende we vipi wewe
 
Kanisa la Ufufuo na Uzima halihusiki kabisa ..... Kanisa linachafuliwa na Kova na TISS, bado masaa machache ukweli utajulikana.
 
... taarifa hizi zinashangaza sana, inakuwaje mtuhumiwa anachukuliwa kawe na baada ya masaa machache anapandishwa kizimbani mahakamani kusomewa mashitaka !!!!
 
Nini ambacho ujaelewa hapo juu? Kuwa Kama Mtu mzima

QUOTE=majorbuyoya;4237290]Mbona hueleweki? Nilidhani labda ungesema tuonyeshe upendo kwa Dr. ulimboka kwa kususia serikali yetu, kwani waliomteka na kumtesa Ulimboka ni Gwajima au serikali kupitia vyombo vyake vya usalama?. acha kupotosha hbabari au umetumwa na CCM?[/QUOTE]
 
MCHUNGAJI NGWAJIMA TUNAOMBA MAELEZO

Ni kweli kuna mtu alikuja kutubu na kueleza dhambi zake kwako na ukamtosa kwa kumpeleka polisi? iweje aje kanisani kwako na si kwingine au ndio uhusiano ulionao na chama na serikali, maana hata mkutano wa jangwani (cdm square) wa kuijibu chadema ni vyombo vyako vilitumika. umeamua na hili kuwasaidia kulibeba pia ikiwa ni mchango wako kwa hii serikali. tunaomba majibu kama si leo kesho ibadani kwako tupime.

KAMA HAYA NI KWELI NA HUTATOA UFUMBUZI LEO;

WAUMINI WA NGWAJIMA INABIDI TUMSUSIE KANISA LAKE- SHOW SOME LOVE KWA DR. ULIMBOKA KWA KUTO KWENDA KANISANI KWA NGWAJIMA KESHO.

Nashsngaa sana siku hizi hawa viongozi wetu wa dini wemekuwa wanatumiwa kama--------,,,,,,@@@@@$$$%%
 
Gwajima ni mganga njaa nadhani amekubali kutumika kirahisi billa kutafakari. kamwe sitafika kanisani kwake wala kununua cd za kwaya ya kanisa lake. KANISA LIMEINGILIWA.
 
apimwe akili anakula sadaka za waumini maskini, na maigizo yake ya misukule sijui yameishia wapi. aliumbuka ubungo siku moja hajakoma bado. aache watu wakamwabudu MUNGU kwa roho na kweli.
 
mh, huyu mchungaji nae 'tempted to touch tu" sasa kama mtu kaja kwako kutubu na kuomba msamaha, iweje umgeuke na kumwitia polisi?????????
maadili ya uchungaji yako wapi??
manake kama nijuavyo mimi na hata kwenye maandiko, baada ya huyo Culprit kukiri kwa mchungaji kwamba amekosa na anahitaji msamaha, baas mchungaji kwa kumsaidia angemwambia tu amtafute Dr Ulimboka nae pia amuombe msamaha na sio kumuitia hao washirika wake akina Komba, oh sory i mean Kova..

Yani michezo kama hii tuliicheza utotoni tukizani wazee hawatojua kumbe washashtuka na kwa kawaida njia ya MWONGO ni ndefu ila ni fupi sana,
ushauri wangu kwa serikali na policcm, "UKIWA MTU WA KUDANGANYA/MUONGO, BASI UJITAHIDI KUTUNZA KUMBUKUMBU"

Alitakiwa atubu kwa Mungu na si kwa mtumishi wake ; Bible iko clear kwamba anayetegemea mwanadamu kama kinga amelaaniwa". Kutubu kwa mwanadamu wa aina yoyote sio maelekezo ya kibiblia bali ya wanadamu"
 
Kwa mtu mwenye akili timamu na aliyeusoma ule mchezo hatoweza kumlaumu Gwajima hata sekunde moja. Kuna kiini macho ambacho TISS na serikali ya CCM wanataka kutuchezea wananchi na kuna mtu alishawahi kuweka post fulani hapa JF kuelezea jinsi serikali itakavyojisafisha kwenye hii scandal na hili leo limetokea.

kwanini msiilaumu serikali yenu dhalimu na dhaifu badala ya kumshupalia Gwajima?
 
Mbona hueleweki? Nilidhani labda ungesema tuonyeshe upendo kwa Dr. ulimboka kwa kususia serikali yetu, kwani waliomteka na kumtesa Ulimboka ni Gwajima au serikali kupitia vyombo vyake vya usalama?. acha kupotosha hbabari au umetumwa na CCM?

Kaka kote tu- TO SHOW LOVE KWA KUWASUPPORT MADACTARI NA DR ULIMBOKA KWA KUMPINGA MCHUNGAJI GWAJIMA NA SERIKALI. Smahani kwa kuto kua CLEAR. TUPO PAMOJA KAMANDA
 
Back
Top Bottom