Fundrise ya Dodoma Yabamba na Willium J Malecela

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Amin usiamini ule usemi ukisema wa nini watu wanasema ntampata lini. Willium Le Mutuz ameweza kufanya ze shughuli ya fundrising yaani it was whassuo. Watu kibao ghosh inatisha watu kibao.
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
 
zomba kumbe kuna wakati unajirudishia ufahamu,lakini bora izo pesa ziwafikie kuliko wale watu wazima wanaopewaga tshirt ,kangha na skafu
 
Last edited by a moderator:
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
Zomba wewe unaweza kuishi na binti wa mtu wewe ambae bado unatembea na housegal wenu
 
wewe umeshachukua wangapi,unalea ??? au ndio ujanja wa keyboard humu kucriticize ambao wameamua kufanya kweli?
 
Ndio raha ya JF Kaunga siku nyingine hutokea kukubaliana na yule ambaye hukutegemea kukubaliana naye hata siku moja.

Inapendeza na nimemkubali, sikutegemea angempa za uso Le Mutus, ambaye kwa kweli aliniboa alfajiri alivyosutana na mdada aliyekuwa mpenzi wake, anyway ni maisha yake lkn.

Mambo yako yakoje?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.
Waeleze kwenye vikao vyenu vya Chama na wala sio hapa
 
Inapendeza na nimemkubali, sikutegemea angempa za uso Le Mutus, ambaye kwa kweli aliniboa alfajiri alivyosutana na mdada aliyekuwa mpenzi wake, anyway ni maisha yake lkn.

Mambo yako yakoje?

Mie niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu...nawe unaendeleaje?
 
Amin usiamini ule usemi ukisema wa nini watu wanasema ntampata lini. Willium Le Mutuz ameweza kufanya ze shughuli ya fundrising yaani it was whassuo. Watu kibao ghosh inatisha watu kibao.

hongereni sana ila inapendeza habari hii iambatane amount iliyiopatikana.
najua yule le big celeb @ chamwino ataleta picha.
Then jana hukunipa jibu, ni KE au ME??
 
Zomba wewe unaweza kuishi na binti wa mtu wewe ambae bado unatembea na housegal wenu

Nikiishi na binti wa mtu nikastiri kihalali si ndio heri zenyewe hizo, kuliko kwenda kuwaanika na kuwaombea michango kama vile sio binaadam. Tunawafundisha nini hawa yatima, kama tunawapenda kwanini kila mmoja wetu asichukuwe mmoja au wawili tukawalea?

Tunawakusanya kama mifugo kwenye mabweni ya yatima halafu tunakuja eti fund raising! this is so pathetic.

Halafu mtu anakuja kujisifu eti fund raising ya yatima imefana.
 
wewe umeshachukua wangapi,unalea ??? au ndio ujanja wa keyboard humu kucriticize ambao wameamua kufanya kweli?

Sarah, mimi ni Muislaam, kwangu yatima hajui kama ni yatima wanaejuwa ni wale wanaojuwa tu kuwa huyu kaondokewa na wazee wake. Hilo wala usiwe na shaka nalo kabisa. Na mimi binafsi nilipoondokewa na wazee wangu sikuwa treated kama yatima wa kutumiwa kuombewa misaada kabisa. Au kunadiwa kuwa mimi yatima.

I am not in terms with those who run orphanages and those who encourages them like this uneducated son of Malecela. It has a long bad effect to the orphans.

Remember, There are Islamic teachings on orphans but absolutely NO teachings on orphanage in Islam.
 
Nikiishi na binti wa mtu nikastiri kihalali si ndio heri zenyewe hizo, kuliko kwenda kuwaanika na kuwaombea michango kama vile sio binaadam. Tunawafundisha nini hawa yatima, kama tunawapenda kwanini kila mmoja wetu asichukuwe mmoja au wawili tukawalea?

Tunawakusanya kama mifugo kwenye mabweni ya yatima halafu tunakuja eti fund raising! this is so pathetic.

Halafu mtu anakuja kujisifu eti fund raising ya yatima imefana.
Wewe laana inakusmbua umeona eeh
 
Huwa hamnisomi vizuri tu, mkiondoa kuwa biased mtanielewa. Ni vyema kuwa mnaonesha mkikuwa mtaacha!
zomba , we ni Juha tu uliyejipa task ya kutetea Magamba, huwezi bishana na vichwa humu JF
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom