Polisi kuchukua posho vibanda vya gongo ni kashfa

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,342
NIMESHANGAZWA HABARI YA ITV SAA MBILI LEO KUA WAPIKA GONGO WALIOMBA KIBALI CHA KUZINDUA KILABU CHA KUUZIA GONGO HIYO KWA SERIKALI YA MTAA PIA POLISI HUA WANACHUKUA POSHO KATIKA VIBANDA HIVYO KILA WEEKEND.......KAMANDA WA POLISI KAZUNGUMZIA HATUA YA KUSAKA WAPIKA GONGO LAKINI SWALA LA ASKARI KUCHUKUA POSHO KAJIFANYA HAJAISIKIA KABISA HII NI KASHFA KWA JESHI HILO NA MNAPASWA KUCHUKUA HATUA....................................:israel:
 
Hahaaaa ni kitu cha kawaida mkuu kwani wewe unaishi nchi gani vile? NO MONEY NO RIGHTS !! Afteral hawapaswi kulaumiwa unajua wanalipwa kiasi gani na matumizi ya mji huu unayajua vizuri so wanajikimu mkuu. Ukitaka kujua utendaji wao kachukue R.B then uone kama hujaambiwa utoe hela ya vocha na mpelelezi wako. Ukiwa na tatizo bora ulimalize uwezavyo hawaaminiki tena hawa jamaaa
 
Hao jamaa siku hizi wanauza spirit iliyo kuwa bleached kwa jic na madawa mengine ya aina hiyo.Sijui kama huyo mkemia na clue?nadhani aanze kwa kuangalia hivyo wasije kutuchakachulia report kama Kova.
 
mbona kawaida....vijiwe vya bangi....gongo n.k wanavijua vyote....wananchi tunashindwa kutoa taarifa polisi coz tunavijua....ukijaribu kusema....polisi wanarudisha taarifa kijiweni....unafanywa asusa.....
 
Huku kwetu kila kitu kiko wazi gongo ,bangi madawa ya kulevya njenje na police wanajua ila ndio overtime yao
 
mbona kawaida....vijiwe vya bangi....gongo n.k wanavijua vyote....wananchi tunashindwa kutoa taarifa polisi coz tunavijua....ukijaribu kusema....polisi wanarudisha taarifa kijiweni....unafanywa asusa.....

kweli kabisa. polisi wetu wanaushirikiano wakaribu sana na wahalifu. simna mkumbuka Zomba na uwizi wa magari?
 
Back
Top Bottom