Baraza kuu la uongozi CUF kukutana kwa siku mbili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza kuu la uongozi CUF kukutana kwa siku mbili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Jul 14, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  baraza kuu la uongozi Taifa litakutana kesho kwa kikao siku mbili ambapo litajadili mada ajenda kumi, ikiwamo na mgomo wa madaktari unaoendelea ambapo kikao hicho kitakuwa chini ya mwenyekiti Prof ibrahim Lipumba ambaye pia ni mwenyekiti wa jopo la wana uchumi Duniani.
   
 2. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Kila la kheri cuf
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Duh Mtatiro lazima apendekeze Uwepo wa Ubwabwa na biriani
   
 4. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tukusaidie nini hapa jf
  tukusaidie kujadili ajenda au?
   
 5. Nyiluka

  Nyiluka Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mungu awajaalie wajumbe ili waje na mbinu mpya za kuendeleza uhai wa chama
   
 6. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kila la heri baraza kuu la cuf
   
Loading...