Germany - Dr. Slaa alivyojidhihirisha kwa ulimwengu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Germany - Dr. Slaa alivyojidhihirisha kwa ulimwengu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jul 13, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG][​IMG] [​IMG]

  DR. SLAA AT THE KAS-DAY Also available in Deutsch

  50 years of worldwide democracy - under this slogan renowned politicians from Germany and across the world looked back on the "impressive success story" of KAS during this year´s KAS-Day which took place in Berlin on the 27th of June. Among the discussants was Dr. Willbrod Slaa, Secretary General of CHADEMA, the Tanzanian partner party to KAS. He shared experiences with politicans from Myanmar, Belarus and Venezuela on the topic "No future for dictators, people want freedom".
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbowe for presidency 2015
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mada haiongelei nani atakuwa mgombea wa kiti cha urais kupitia Chadema uchaguzi mkuu ujao, bali hapa ni mada inayohusu uwakilishi wa Chadema kule Ujerumani kupitia Dr. Slaa, na sasa serikali imeanza kuchanganyikiwa kwani ulimwengu umeanza tu kupima siasa za Chadema kimataifa zina mwono gani.
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145


  FYI all them POLITICIANS from all the NATIONS they were from OPPOSITION POLITICAL PARTIES

  So VENEZUELA was the participating Party was not from the Ruling So called Dictator Hugo Chavez; It was Opposing

  Party; Same as Belarus as well as Myanmar and Tanzania

  * IF YOU ARE A CRITIC; PROVE YOUR STATEMENT by doing a deep down research first!!!
  Imagination is more important than knowledge...
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kumbuka kwamba, ulimwengu wa leo watazamiwa kuwa katika leadership hupimwa pia mtazamo wao kimataifa licha ya kukubalika katika nchi zao. Pamoja na kwamba waliohudhuria kongamano hilo ni wa kutoka vyama vya upinzani, ujue kumekuwepo na nafasi finyu sana kupenya kuwa mmojawapo katika watoa mada. Chadema kuwa na mwakilishi ujue si huruma, bali stahili waliyo nayo kutokana na nguvu ya kimageuzi waliyo nayo. Sasa ulimwengu unataka kujua nini mtazamo wao kitaifa na kimataifa.
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Huyu mwakilishi wa Venezuela ameniacha hoi kwa kutoondokana na mazoea kwani si jambo la kawaida la kistaarabu karatasi alizoandika mada ya kuripresenti ameweka sakafuni. Duh tembea uone dunia ina marefu na mapana kweli.
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  'BLACK SPRING AFRICA': A SURE KEY-HOLE FOR THE CONTINENT'S YOUTHS TO STEER CLEAR OF DICTATORIAL TENDENCIES AND CORRUPT REGIMES

  The German International Symposium coined theme "No future for dictators, people want freedom", for certain, most candidly echoes the exact heart-beat rythms that has since pre-occupied many a mind of the historically down-trodden masses of the African continent for one.

  Thus, in a more responsive manner, soon and very soon there shall come to shake a very heavily loaded democratic tides and currents of
  'BLACK Spring Africa' almost in every other closed-up society and it is going to be most agitatively whispering on the way coming.

  Indeed, the new development shall seek to put the scoanfully considered sections of our society at the head of the main tables and dictators to replace their former positions.

  A wind of change that is soon going to breath freedom to every other reform-minded soul shall be much more than just bound to sweep clean across the continent all dictatorial tendencies.

  Sure, this new and historic development is going to open up major avenues of freedom for the bulwalk of down-trodden sections of our societies shall be the bottomline of everything.

  A cleaner break with the past is here and now for all not just the selected-few sacred cows!

  Yes, it all begins with you and closes with you in order that the current dictatorial chains and endless corruption instances are permanently arrested.

  Like was the case in Egypt, Tunisia, and many other parts of the Arab World, only understandable language by dictorial regimes is and now; through peaaciful and democratic means the masses are now going to stand up and say in one accord - ENOUGH IS ENOUGH!!

  And with that single statement all chains of corruption, dictatorship and election results manouvering shall come down tambling to great amazement of the perenially weak aand voiceless members of our societies.

  Keep you heels well warmed up for the Great Trek sooner than ever since it is the only best language to take home!
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,954
  Likes Received: 2,095
  Trophy Points: 280
  Being a discussant at the international forum isn't a joke!!!
   
 9. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,757
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 280
  Tuwekee Clip basi tusikilize.
   
 10. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  do kumbe padri slaa na yeye anakitambi? Halafu mbona huo mkono hujashika hizo karatasi vizuri?
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe mwenyewe umesema aliakilisha CHADEMA. Kunauhusiano wowote na Seruikali ya Tanzania kweli, Mbona ZITTO kila wikin anakwenda huko, mbona msiseme anavyoitisha Serikali kwa kwenda kwake huko, kwani huyu mwiizi wa wake za watu yeye ni nani? Kuna tofauti gani na kukutanan na chama chochote rafiki chan kule kenya, uganda na Rwanda? Kila mtu anajua CDM ni chama rafiki na chama kimojawapo kule Ujerumani.
  Wewe ukiangalia kwenye kundi hilom kuna kiongozi gani wa juu sana yuko hapo kwa kwa vile ni Wazungu?
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Acha ku-edit picha halafu unatuletea hapa. Slaa aache kushughulikia matatizo yake ya kifamilia aende huko nani anamjua? Muacheni ZITTO ndiye mwenye uzoefun na mambo hayo.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe huoni hizo picha zime-editiwa? hana lolote huyo. Kwani kuna jambo gani lolote hapo ambalo ni geni au kwa kuwa amekaa na wazungu? hao huku kwetu ni kama akina Mtikila, Dovutwa na wanasiasa wengine wadogo wadogo, uzungu wao usikutishe
   
 14. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  Bwanaeeh,fungua uzi wako unaomhusu zitto hujakatazwa!hapa ni Slaa,usitusumbue
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Huu mkutano mbona wa Kawaida Chadema kwa ushabiki, halafu ukitaka kujua kama huu ni wa kawaida sana kuna jamaa mmoja amekaa kulia makaratasi ya mkutano kayaweka chini...Slaa kapendeza kaachana na magwanda.
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  CHADEMA the Tanzanian partner party to KAS. Twafwaaaaaah!!
   
 17. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Watu wenye akili utawaona walivyotulia na wanavyotafakari kutoka kwa mtu makini . Mzee huyu ni jembe kweli. Achana na macheckbob yanayokwenda kutalii kila kukicha . You deserve to be Our Leader Dr Slaa , tumepoteza bure kipindi hiki cha miaka 10 kwa huyu Vasco dA Gamma
   
 18. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Tanzania to get the presenter in a famous council like that,shows our bright future with CHADEMA.God bless you all.AMEN
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kikwete anaweza jaribu lakini, tabasamu lake akiliachia linafunika!
   
 20. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,812
  Likes Received: 17,918
  Trophy Points: 280
  Slaa katokelezea mbaya, ivi kuachilia headphone si inamaanisha anajua malugha yote yanayozungumzwa hapo
   
Loading...