Kijiji cha Nyamalapa Bariadi (Simiyu) kuna vurugu kubwa ya wakulima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijiji cha Nyamalapa Bariadi (Simiyu) kuna vurugu kubwa ya wakulima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MSEZA MKULU, Jul 14, 2012.

 1. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,587
  Trophy Points: 280
  Hapo kijijini sasa ffu wametanda tangu jioni wananchi wakulima wa pamba wanafanya fujo wakipasua vioo vya magari barabarani etc. Chanzo cha vurugu hizo ni kuwa wanatakiwa kuuza pamba yao kwa tsh 6000 kwa kilo.

  Wao wanataka kilo hiyo iwe tsh 1000 maana ndio yenye maslahi kwao.

  SOURCE: mwalimu anaye ishi hapo kijijini amenipa taarifa akiwa amejifungia ndani.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Rudi upate takwimu sahihi, hizo tarakimu sijazielewa, manake hii buku ndiyo chenge aliikubali kitalani.
   
 3. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  hapo ni sh 600, c 6000, na naomba wabunge wao wawatete maana walikuwa na kauli yao bila buku no pamba.
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  bajeti ishapitishwa, wawatetee vipi tena! ukizingatia chadema walivyo na akili, huwashushia vigongo wakabaki kujadili hotuba za chadema wakaacha kabisaa kudeal na matatizo ya wapiga kura wao. Labda watetee kama kuku.
   
 5. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,587
  Trophy Points: 280
  Samahani ni 600tsh na sio 6000tsh makosa ya kiuandishi. Ni jimbo la mh john cheyo
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  safi sana watu wangu wanyumbani wasukuma tumetumika vya kutosha sasa amkeni unganisheni nguvu..vurugu hizi zilianzia bariadi sasa naona zinaenea na nimeongea na ndugu zangu karibu wote wanasema hawauzi pamba kwa bei hiyo na wole wake atakaeenda kuuza pamba kwa njaa zake...
   
 7. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Lisu alisema juzi, ikifika wakati watu watadai haki zao kwa njia mbadala. Tutafika tu.
   
Loading...