Wabunge wetu wana SLAVE mentality au Self low esteem? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wetu wana SLAVE mentality au Self low esteem?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jul 5, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwani kuna umuhimu wa wao kuongea kiingereza kama hawakijui?

  Number 1 cuplrit ni Spika na naibu wake

  na mbaya zaidi miswada karibuni yote inachapishwa kwa kiingereza kigumu kwa mtu wa kawaida kuelewa

  sisemi kuwa ni vibaya kuongea kiingereza lakini najiuliza kuzungumza kiingereza ndani ya bunge ili kumfurahisha nani?

  kama hawataki kuongea kiswahili kwa nini wasi zungumze kwa kiingereza kitupu ili tujue moja?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  wasipozungumza kiingereza, utajuaje kama walipitapita skuli?
   
 3. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Weeeee wazungumze kingereza kitupu????
  Wanakijulia wapi??

  Wanachokifanya ni kutaja nouns and verbs za kingereza tu sio kuongea kingereza!!
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Haahahahaaa!!
  Hadi kibajaji na profesa tall water nae yupo, anakichapa kikoloni!!
   
 5. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mbaya zaidi ni kuwa CHADEMA nao hawalipigiii kelele hili suala

  sababu wanzijua wao
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Silinde naye anakimwaka kiingereza chake cha darasa la saba?
   
 7. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwa nini CHADMEA wanakubali ujinga huu ndani ya bunge?
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hata wao wanachanganya lugha
   
 9. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hawa jamaa lao moja
   
 10. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Hicho mnachokisikia ni aina mahsusi ya Kiswahili (sio Kiinglish) - Kiswahili kinachozungumzwa na watu wote waliopitia shule au kuishi katika jamii za wazungumzaji wa Kiingereza na kuokoteza Kiingereza kwa viwango tofauti. Kumbuka kwamba Kiswahili (kama ilivyo kwa lugha zote) kinazungumzwa kwa namna tofauti na wazungumzaji wake- kwa mfano, watu wanaozungumza Kichagga wanazungumza Kiswahili tofauti na wale wazungumzaji wa Kihaya, Kisukuma, Kigogo, nk. Humo humo Bungeni wengine wanazungumza Kiswahili cha Kigoma, wengine Kiswahili cha Msoga, na wengine Kiswahili cha kampasi ya UDSM, nk. Ni vigumu kufanya Bunge kuwa darasa la Kiswahili cha aina moja!!!
   
 11. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zito ndio kaboa zaidi kuchanganya lugha
   
 12. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Naamini katika miaka inayokuja hii generation ilipo mashule hivi sasa itaweza kuongea kiingereza au hata kifaransa ,nimeona jitihada kubwa inafanyika katika mshule ili wanafunzi wawapite wazazi wao ,kenya bunge lao linaendeshwa kwa kiingereza ,ila hapo bungeni wanakosea wanapoweka mambo kwa kiingereza kwani lugha yetu kuu ya taifa ni kiswahili ,kwa hapa nasema bunge linavunja katiba.
   
Loading...