Tundu Lissu afunguka bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu afunguka bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Elam, Jul 13, 2012.

 1. E

  Elam Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mchekini Mh. Tindu Lissu anavyo kandamiza Magamba Bungeni now...

  Ananukuu matukio mengi sana hasa rushwa za uchaguzi, Uteuzi wa wakuu wa wilaya na Mikoa ambao woote ni wabunge wa viti maalumu. Lissu anahoji kwa mujibu wa katiba tuliyonayo saa mkuu wa wilaya au mkuu wa Mkoa ni wa mtumishi wa serikali ambayo inapaswa kujibu hoja za wabunge waliopo bungeni, (ieleweke kuwa Bunge ni mhimili tofauti na ule wa serikali) sasa je wabunge waha wa kuteuliwa wanafanya nini bungeni wakati wanapaswa kutekeleza yanayojadiliwa bungeni? Pili; wanapokuwa bungeni wanakuwa wanakosoa serikali hiyohiyo ambayo imewaajiri?

  Amesema mengi ila hili limenigusa zaidi;

  - majaji waliopo ni wazee, wanaingia kwa kujuana zaidi na hawana vigezo vya kuwepo kwenye nafasi zao.....

  Ndugai aponda na kuwapa mda Kambi rasmi ya Upinzani na kuwapa mda mpk jioni warekebishe kipengele hcho au walete adendum ya kurekebisha tamko hlo......

  Binafsi sioni uvunjifu wowote wa maadili katika hlo kwn ni ukweli ulio wazi......... sna sna naona propaganda znaendelea bungeni.
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Namsikia, jamaa ni jembe ni sahihi Kikwete amuogope
   
 3. W

  Wimana JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Wengine hatuna nyenzo za kumwona, anasemaje?
   
 4. k

  kitero JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toa angalau dondoo kidogo basi ili tuweze kuelewa na kukijua anachosema si kila mtu yupo kwenye TV muda huu.unatoa ujumbe kama upo FB?
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,734
  Trophy Points: 280
  Anafunguka nini? Weka habari kamili!
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Anamwaga data zipi mkuu? Tujuze mkuu wewe ndio reporter wetu.
   
 7. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  umeme wenyewe hamna na wewe uliyepata nafasi ya kusikia yaliyonenwa na lisu kwann usituwekee japo kidogo?
   
 8. MKL

  MKL Senior Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ananukuu matukio mengi sana hasa rushwa za uchaguzi, Uteuzi wa wakuu wa wilaya na Mikoa ambao woote ni wabunge wa viti maalumu. Lissu anahoji kwa mujibu wa katiba tuliyonayo saa mkuu wa wilaya au mkuu wa Mkoa ni wa mtumishi wa serikali ambayo inapaswa kujibu hoja za wabunge waliopo bungeni, (ieleweke kuwa Bunge ni mhimili tofauti na ule wa serikali) sasa je wabunge waha wa kuteuliwa wanafanya nini bungeni wakati wanapaswa kutekeleza yanayojadiliwa bungeni? Pili; wanapokuwa bungeni wanakuwa wanakosoa serikali hiyohiyo ambayo imewaajiri?

  Source ni TBC Bungeni leo..
   
 9. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamaa huwa anaongea english bungeni'sijui kule iramba wote wanajua english!!!!
   
 10. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Njoo na habari kamili mkuu!!
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,872
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  alikuwa anawasilisha hotuba mbadala ya kambi ya upinzani
   
 12. MKL

  MKL Senior Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lissu siyo Mnyiramba ni Mnyaturu acha ***** kapige mswaki, halafu swala la English linatoka wapi nasikiliza hotuba mwanzo mwisho mbona amewakilisha kwa Kiswahili kama ni English ni yale maneno Technicals tuu.. Umekurupuka toka wapi wewe?
   
 13. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  safi sana,Technician stella manyanya anasemaje kwa hilo?
   
 14. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Amesema mengi ila hili limenigusa zaidi;

  - majaji waliopo ni wazee, wanaingia kwa kujuana zaidi na hawana vigezo vya kuwepo kwenye nafasi zao.....

  Ndugai aponda na kuwapa mda Kambi rasmi ya Upinzani na kuwapa mda mpk jioni warekebishe kipengele hcho au walete adendum ya kurekebisha tamko hlo......

  Binafsi sioni uvunjifu wowote wa maadili katika hlo kwn ni ukweli ulio wazi......... sna sna naona propaganda znaendelea bungeni.

  Source: Bunge Live

  Nawakilisha.....
   
 15. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Habari kama upo facebook. Mzaha huu
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi wakuu wa mikoa/wilaya ambao pia ni wabunge wanalipwa mishahara yote miwili? Na wanapokuwa bungeni nani anafanya kazi zao mkoani/wilayani? Na kwanini kulundika madaraka kwa mtu mmoja?
   
 17. owawajr

  owawajr Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hongera Lissu kwa hotuba iliyosheheni,tunaomba hotuba iwekwe humu ili iwafikie wengi zaidi
   
 18. MKL

  MKL Senior Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hawezi kuwa na lakusema zaidi ya kumlaani Lissu kwani anagusagusa unga wake ahahahah
   
 19. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Ametaja tuhuma zote za kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka na kuwataja wahusika Msangi, Zocka .... na kurifaa gazeti la Mwanahalisi kuwa hao ndio washukiwa waliohusika na kumtesa Dr. Uli...
   
 20. owawajr

  owawajr Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Lissu namba nyingine,nimemsikiliza mwanzo mwisho,mwenye hotuba aipost humu JF ili iwafikie wengi zaidi
   
Loading...