RAIS Kikwete amezindua mradi mkubwa wa maji wa Uwanja mpya wa Ndege wa Swaya mkoani Mbeya, huku akivirushia madongo kwa vyama vya upinzani kuwa vinafikiria kuanzisha ugomvi kila siku badala ya...
Anne Makinda alisafiri akiwa amevaa vazi la kiislamu kuelekea Zanzibar, lakini ukiangalia kwa undani sana hiyo safari yake ilikuwa na mambo mengi,Baada ya kukataa kuhairisha bunge wakati meli...
Posted on July 23, 2012 by zanzibaryetu
Othman Masoud Othman ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar akitoa mada katika semina ya siku mbili kwa wajumbe wa baraza la wawakilishi kuhusu...
Hii hufanywa na makampuni ya simu makao makuu kama ifuatavyo؛mf. Mnyika na nchemba
1.kufunga mawasiliano kwa mlengwa aliyedhamiriwa kupakaziwa kesi(network low au unavailable at all) line...
Nipo nafuatilia bunge mda huu,(KUPITIA STAR TV) juma nkamia anamwaga kero za Tbc, je leo tutegemee matatizo ya Tbc kutatuliwa????
Naye Sugu anamwaga sumu kuhusu sekta ya habari akisomea kambi ya...
Kutoka Ifakara:
Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi amemshukia vikali Mwigulu Nchemba na Nape kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata ya Mkamba.
Munishi amedai kuwa Mwigulu...
Kwa mara nyingine tena Rais amepitisha muswaada kuwa sheria
kandamizi ktk ustawi wa watanzania. Wakati CCM ikiendelea
kuimba wimbo wa kutengeneza ajira kwa vijana kwa kutmia mkono
wa kulia...
Tukiwa katika mikakati mizito tukilenga matakwa yetu yatimie 2015 basi ni muda muafaka wa kukata tiketi yako mapema na kuchagua usafiri wa kuingia nao 2015.
UPDATES
Nimepata taarifa punde kutoka kwa Kamanda Shabaan kuwa Kamanda Waitara anashikiliwa na polisi. Ilikuwa nbi baada ya kuandikisha maelezo yake polisi. Kulikuwa na understanding kuwa baada...
Waziri wa miundombinu na mawasiliano (Zanzibar) Hamad Masoud Hamad (CUF) amejiuzulu kufuatia ajali ya boti ya Mv Skagit.
Nafasi yake imerithiwa Mhe. Rashid Seif Suleiman (Ziwani, CUF)
Waziri wa...
THERE CAN ONLY BE ONE PRESIDENT AT A TIME!
Huo msemo niliusoma mahali sina uhakika walimaanisha nini lkn nafikiri alimaanisha kwamba kutakua kuna watu weengi kama 500 wanautaka Uraisi wakati Rais...
CHADEMA Wilaya ya Arusha mjini
P.o.box 12525
Arusha
Ngarenaro h/se no 8
NHC street
...
Ratiba yetu ya mikutano ya hadhara ni kama ifuatavyo
Julai 25.Kata ya Themi
Julai 26.Kata ya Kaloleni...
chadema mnafahamu mnachokidai
Nnimekuwa nikifatilia kwa makini siasa za tanzania na hasa vyama viwili chadema na ccm.nimekuwa nikikifatilia ccm kama tawala na chadema kama chama mbadala wengi...
Marando amesema mwenyewe kuwa alikuwa mwajiliwa wa usalama wa taifa, sasa ni vipi aliacha kazi hiyo? Alifukuzwa? Kwa nini alifukuzwa? Alistaafu? Na alikuwa na wadhifa gani wakati anatoka huko? Je...
-Kwa mtu yeyote mwenye kutafakari maswala kwa undani, utaona umuhimu wa kuisikiza hoja na hata kuwaunga mkono hoja ya wana UAMSHO kuitaka Zanzibari kujitenga kutoka kwenye muungano. Kosa...
Hakika kama ilivyo kwa wananchi wengine wote, Wabunge nao wanatakiwa kuwajibika ipaswavyo wawapo Bungeni na majimboni kwao.
Hata vivyo, je wananchi wanapata picha gani ya chombo hiki kikubwa...
-Kutoa idea chanya kwa CHADEMA, mfano, blogs, security ya viongoz (nyumba zao kua na camera), kutengeneza ushahidi mikutanoni (kila mkutano uweunarekodiwa manake magamba wakishindwa wanatupeleka...
Sisi watanzania tuko wapole sana.
Tunaelewa kabisa sasa kuwa mmiliki wa Dowans ni Rostam. Hilo nalo linathibitishwa na ukweli kwamba hata wakili Fungamtama ameajiliwa na Rostam, ndiyo maana...