wakuu salamuni.
ili kuibana serikali, inatakiwa tushirikiane na wabunge wale tunaoamini kuwa watakuwa wasemaji wa wananchi. kuna jamaa kaorodhesha hoja mbalimbali lakini hana namba za mtu...
Kwanini haikutumika jana kupunguza idadi ya Vifo?
Badala yake zilitumika zaidi boti za Kutoka Zanzibar ambapo kwa kiasi kikubwa zilichelewa kufika.
kama ingalitumika Helikopta iliotumika kuzuia...
Dhambi mbaya tena mbaya sana,heri utafunwe na Kansa ikikumaliza inakumaliza peke yako,lakini dhambi inafata kizazi hadi kizazi.
Yanayotokea ni Dhambi ya waliondoka duniani kwa Maslah ya...
Tupo Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa kamanda Mkoa Linus Vincent Sinzumwa, kusubiri Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika na Dr. Kitila Mkumbo kuhojiwa kuhusu fujo...
Kwa taarifa,
Rais wa Liberia, Mhe. Ellen Johnson Sirleaf, anawasili nchini leo mchana mida ya saa nane hivi. Atapokelewa na JK (mwenyeji wake na kuelekea "White House", katika dhifa iliyoandaliwa...
Wana JF,
Viongozi wa CDM waliokuwa Singida wanatuhumiwa kutoa matusi kwenye mkutano wao. Naomba kama kuna video ya hayo matusi tuilinganishe na yale ya Lusinde ya Arumeru.
Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 11 July 2012
Gumzo la Wiki
HISTORIA ya madai ya haki katika ujira na mazingira bora ya kazi kwa madaktari nchini hii hapa. Unganisha vipande vya makala hii ili...
Uzembe wa kwanza hatufuati sheria za usalama
Uzembe wa pili sheria hazizingatiwi na wanaozisimamia wote wako likizo kwa rushwa na uhujumu.
Uzembe wa tatu serikali haitoi adhabu inayostahili kwa...
Moja ya taarifa ktk gazeti la mwananchi la leo trh 19/07/2012 inaonyesha kuwa aliekuwa katibu mkuu wa wizra ya nishati na madini David Jairo atafikishwa mahakamani.
Habari zaidi soma gazeti husika.
Hebu angalia wajinga walivyo waliwao? Yule tapeli wa Loliondo kaja na mpya nyingine akidai kuwa amepewa miujiza mingine ya kuwaliza wadanganyika! Je atatoka na ipi mwaka huu? Bonyeza hapa.
Meli iliyozama na kuuwa mamia ya watanzania wenzetu haikuwa na uwezo wa kusafi baharini bali kwenye mito. sasa imekuwaje sumatra wakatoa leseni ya kusafiri baharini?
souce: x-captain wa meli hiyo.
Meli ya Mv Skagit iliyokuwa safarini kutoka Dar kuelekea Zanzibar imezama majira ya saa nane mchana hii leo katika maeneo Pungume na Chumbe baada ya kukumbwa na upepo mkali.
Meli hiyo...
Juzi tu tumeweka hii post tukiwataarifu kwamba kuna tukio litatokea hivi karibuni ili kuipa serikali muda wa kupumua. Tukio ambalo kweli linaamisha fikra za watanzania ni Kuzama kwa meli Zanzibar...
1.Katibu wake mkuu anakabiliwa na kesi aliyofunguliwa na Rose Kamili.
Kwamba anamuwekea pingamizi la ndoa iliyokuwa imetajwa kufanyika july 21 mwaka huu.Pamoja na mambo mengine Kamili anadai...
Bado Watanzania tuna kumbukumbu za MV Bukoba ambapo mamia ya Watanzania walifariki kwa mpigo.
Ikiwa hiyo ni ya mbali, mwaka jana Septemba 10 Watanzania zaidi ya 200 walikufa wakijiona.
Tarehe 13...
Nugu wanajamii nimekuwa nikifatilia sana usikivu wa serikali kwa mambo mengi yanayojitokeza bila kuaona nia ya dhati ya kuyatatua.
(1)Ajali za meli zimetokea nyingi lakini hawajali,na hawajaandaa...
Wanajamii.
Kama waTanzania hususan wale waliotoka Bara (Tanganyika) msingekuwa watu wa kulalamika na kulaumu kwa kila jambo na kusahau kabisa kuwa wazalendo na kushukuru kwa kile kidogo...
Madam Spika "TUNAONA"
Am troubled kila Mara ninapomsikia mama wa mjengoni akisimama kwa kuwasema Wabunge, mara kwa mara kwamba Wananchi wanawaona, na wanaona kila kinachoendelea hapa, am not sure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.