NEWS
By LUCAS BARASA The EastAfrican
Posted Saturday, July 28 2012 at 15:46
The East African Court of Justice (EACJ) has confirmed its powers will in the near future involve trial of cases...
ITV habari
Kama kawaida Ikulu ya Jk imetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa mgomo wa walimu unatarajiwa kuanza ni batili na hautakiwi kuwepo kwani haujafuata taratibu na kesi yake iko mahakamani.
July 28, 2012 by zanzibaryetu
Na Abdallah Vuai
Wiki hii kuna kituko cha aina yake kimetokea ndani ya Chama cha Mapinduzi upande wa Zanzibar kwa wanachama wachache wa Chama hicho Wilaya ya...
Waziri wa nishati na madini, prof. Muhongo ameweka wazi kuwa kuna wabunge wanaiuzia Tanesco nguzo na kwamba nguzo hizo zinatoka South Africa.
Prof. Muhongo amesema nguzo hizo zinatoka Mkoani...
Mh lukuvi ukiwa RC dodoma,ulifanikisha kuwekwa kwa Taa za barabarani na baadhi sehemu kuwekwa saa ,cha kushangaza ukipita baadhi ya Maeneo unakuta zimekatwa yan kutolewa kbs...
Kama Uongozi wa...
Sasa iko wazi, Ngeleja kwenda kujiunga na wafanyakszi wa Wizara kumpokea Jairo na kumkumbatia
Skendo la mafuta ya kuendesha mitambo kuzalisha Umeme
Mgao feki kwa kipindi chote wamekuwa...
Fri Jul 27, 2012 6:23pm GMT
* Plans 200-megawatt coal-fired power project
* Eyes higher revenues from gold exports
* Says has over 130 mln pounds of uranium oxide
By Fumbuka Ng'wanakilala...
Barabara ya Serengeti ilikuwa na manufaa sana kwa Uchumi wetu kwa kuboresha Miundombinu na kukuza utalii. lakini mashirika kibao ya kimataifa yaliipigia kelele mengi yakiwa nyuma ya Kenya eti...
Lazima tuwapongeze viongozi hawa waandamizi wa Wizara ya Nishati kwa kuweza kuhimili mapigo ya mafisadi, kuonyesha jeuri ya Mtanzania na hatimaye kushinda.
Ni rare siku hizi kwa viongozi wengi...
Wazo la Leo (kutoka lililopita). Sifa za huyu mtu ambaye tunataka aje na kuwa Rais wetu na nyuma yake safu nzima ya viongozi wenye uwezi nilisema ni lazima ajitofautishe kwenye mambo kadhaa...
WANA-JF;
Nimelazika kuwaandikia hasa ndugu mwanachama au mshabiki wa CHADEMA na watanzania wazalendo wenye mapenzi mema na nchi yetu popote mlipo ili niwafahamishe yafuatayo;
1. Hakuna binadamu...
Lawrence Mafuru, National Bank of Commerce who was The Head of Treasury has been appointed to be the bank's new Managing Director.
Lawrence will succeed Christo de Vries. The effective date is 1...
Na Mwinyi Sadallah
28th2012
Baraza la Manispaa Zanzibar, (ZMC), limebandua matangazo ya kupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyokuwa yamebandikwa sehemu mbalimbali za...
JANGA LA KIFAIFA
Rais kikwete leo kazidua garage (karakana) ya ndege za precision katika viwanja vya J k nyerere kwa kukata utepe kuashilia uzinduzi
TAfakari picha kwa hisani ya @misupu
UKOMBOZI ni kitu kimoja cha ajabu sana, napenda kukiita cha ajabu kwa sababu wakati watu wengine wanajitahidi kuleta ukombozi wapo wengine wanaojaribu kuzuia ukombozi. Sababu zinakuwepo nyingi...
Kijana Zitto Zuberi Kabwe kapata umahiri mkubwa sana kwenye medani ya siasa, anayo mengi ya kujivunia mafanikio ya kisiasa kiuongozi na kiuchumi.
Zitto ameweza kuwa chachu ya vijana wengine...
Wana JF,
Taarifa za kiintelijensia toka kwa wanaTISS wachache waliobakia na uzalendo kwa taifa lao zinsema, Rais wetu JK ndiye aliyetega mirija kila kona kuhakikisha anachota kila kinachoingia...