Where the hell do these leaders leading our country come from???????????? Naangalia hapa mheshimiwa Seif Idd anahojiwa na Aljazeera kuhusu ajali ya meli kuzama. Nini kifanyike kuhakikisha ajali...
Habari za leo wakuu,
nimepita pale mikocheni hospital opposite mchana huu , huwezi kuamini nimekuta shina la wakereketwa wa ccm lipo barabarani ndani ya mita moja kutoka ukingo wa barabata ya...
Binafsi mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kimoja hapa tz,nimeamua kuwa wazi ili nipate msaada dhabiti kutoka kwenu,binafsi namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuhitimu chuo kikuu bila shida kutokana na...
Mv Skagit ilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 300 pamoja na mizigo tani 26, hivyo kulingana na idadi ya abiria 288 walioondoka katika chombo hicho isingeweza kuleta madhara kama hayo, ila...
Mimi ninaomba kujulishwa kwa wabunge wa vyama vya upinzani Kuwa karibu na Rais...(Mwenyekiti wa CCM) hii imekaaje?
Maana kuna baadhi ya wabunge wa upinzani wamekuwa na uswahiba na Rais wa JMT...
Jana wamezindua bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar...
Zitto Kabwe alikuwepo, nasikia nae yumo kwenye kujimilikisha maeneo Mtwara!!!!
Nani kawaambia gesi oende huko badala ya kujenga mtambo...
Sunday, 22 July 2012 00:12
Na Mwandishi Wetu
WAKATI vitendo vya uhalifu vikizidi kuongezeka sehemu mbalimbali nchini, sasa silaha kutoka nchi jirani zinadaiwa kuingia kwa wingi na kuuzwa...
Wahongeni wahariri wa vyombo vyote vya habari wasiwe wanaandika habari za wizi na ufisadi katika serikali yenu unaofanywa na wakubwa kila siku huku hakuna hatua za maana zinachukuliwa isipokuwa...
Tathmini za kisiasa zilizofanyika ndani ya wiki tatu zilizopita na mfululizo wa matukio ya woga na kujihami, zinaoneka kuupa upinzani nafasi kubwa ya kulitwaa jimbo la Mheshimiwa Mwigulu, hii ni...
<font size="3"><span style="font-family: book antiqua;">kwa siku za hivi karibuni Mh nchemba amekuwa akionekana kukosa uvumilivu katika michango yake akiwa Bungeni, sina tatizo na...
JUMAPILI, JULAI 22, 2012 09:32 MAREGESI PAUL NA DEBORA SANJA, DODOMA
*Kisa utoro wa wabunge ukumbini
*Mbatia ataka marekebisho ya kanuni
BUNGE, jana lilishindwa kupitisha bajeti ya Wizara ya...
Meli ya kisasa karibuni kuzinduliwa inauwezo kubeba magari 200, abiria 1500 na Mizigo tani 500.
KAMPUNI ya Usafiri wa baharini ya Azam Marine inatarajia kuzindua meli kubwa ya kisasa kwa ajili ya...
- Asema dhoruba iliizamisha Mv. Skagit
- Balozi Seif asema tukio limeitia doa serikali.
- Waafrika Kusini, Waisrael wazamia kuifuata
Na Waandishi wetu
WAZIRI wa Miundombinu na Mawasiliano, Hamad...
Kwa mujibu wa 'katiba ya ccm 1977,toleo la 2010. Wajumbe wa mkutano mkuu waliamua kuunda ccm ili kuendeleza mapinduzi ya KIJAMAA, ndio maana kikaiwa chama cha mapinduzi.
Katika kuleta hayo...
Hii ni hoja inayozungunzwa sana na wajumbe wa NEC majina yao kwa sasa nayafanya siri, Kuwe Nnape tangia achukue nafasi ya ukatibu uenezi wa CCM amekuwa akifanya kazi za katibu mkuu Mzee Mkama...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Naibu Spika Bw.Job Yustinno Ndugai limeahirishwa kwa kile kilichonyooshewa vidole na Wabunge wa Upinzani kuwa ni kutokutimiza Akidi ya yabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.