Mara nyingi yanapotokea majanga serikali imekuwa ikiunda tume na kutoa ahadi kibao za kukomesha majanga hayo yanayotafuna maisha ya waTZ kila kukicha, lakini cha kustaajabisha ni kwamba majanga...
sasa hivi huyu mzee amekua kimya sana sijui kulikoni? tulikua tunakusikiliza kwa makini sana pale baraza la wawakilishi, kama upo jitoke ze hata hapa jamvini utuambie kinachoendelea!
Salaam,
Kikao cha Bunge kinaendelea leo baada ya kumalizika kwa siku tatu za maombolezo kufuatia ajali ya kupinduka na kuzama kwa Meli iliyokuwa inaelekea Zanzibar huku kukiwa ni viporo viwili...
Kataa ukubali lakini ajali ya Meli Zanziba imesababishwa na CHADEMA.
Kwa umahiri wao wa kupeleka hoja zenye maslahi kwa nchi kumekifanya chama hiki kipendwe sana na wananchi na kuifanya CCM kuwa...
WAKATI mjadala wa Bunge la Bajeti unaoendelea mjini Dodoma ukitawaliwa na vijembe, kashfa, kejeli na maneno ya kuudhi, Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Imam Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis...
Diwana wa ccm kata ya mianzini,temeke Dar amefariki dunia jana jioni katika hospital ya ZAKHEM.
Kwa mujibu wa taarifa za Wapo Radio, diwani huyo bi CECILIA MACHA alianguka gafla katika kikao...
Nadhani CCM wameona Umuhimu wa Kurudisha JKT kwani ndio tegemeo lao kutumia mwanya huo kuzoa wanachama. Vijana watakaojiunga ni dhahili watalazimishwa kujiunga na MAGAMBA wapende wasipende.
My...
​​NAPE, MAWAZIRI KUFUNIKA KESHO KIGOMA.
NA BASHIR NKOROMO, KIGOMAChama Cha Mapinduzi (CCM) kesho, Jumapili, Julai 22, kinatarajiwa kuutikisa mkoa wa Kigoma, kwa mkutano wake mkubwa...
KAMATI ya Nishati na Madini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekubali wazo la wadau kuhusu rasimu ya sheria ya gesi kuwa na mapungufu makubwa ikiwemo waziri kupewa madaraka makubwa...
Kwanza tuanze kwa kusema wazi wazi kwamba HAKUNA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, badala yake kilichopo ni TAANGANYIKA KUITAWALA ZANZIBAR. Najua kwamba nikisema hivyo nazitonesha nyoyo za...
NA MASHAKA MGETA
22nd July 2012
Naibu Spika, Job Ndugai
Hatua ya Naibu Spika, Job Ndugai, kukataa ombi la Mnadhimu Mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu, kuwasilisha hoja ya...
nape jiandae kabla hujaongea unamtia aibu marehemu mzee moses nauye yaani wewe na wiliam malecela mnawatia aibu wazee wenu mnajijenga zaidi nyinyi kuliko chama mzee makamba alishasema sasa tunaona...
Spika kung'olewa?
Baadhi ya wabunge wameanza kuwahamasisha wenzao kupiga kura ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge.
Wabunge hao walifikia hatua hiyo kwenye kikao cha dharura walichokifanya jana...
Dvd zinazoonyesha polisi wakimpiga mtoto mdogo ndani ya nyumba huku mtoto huyo akihaha kutafuta njia ya kutokea zinaanza kusambazwa visiwani huko.
Dvd hizo zilipigwa siku ya tukio la kuwapiga...
Kila kukicha asilimia kubwa ya thread zinazoanzishwa hapa ni za kutoridhishwa na utawala uliopo. Sasa mie nimekaa nimefikiri na kujiuliza hivi wewe mlalamikaji kama mimi (mimi pia hulalamikia...
HABARI ZA KUAMINIKA ZINASEMA KUWA MAALIM SEIF (HARAGE --- JINA LAKE LA UTOTONI) ANAKUSUDIA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR 2015 KUPITIA CUF. HARAGE AMESIKIKA AKITAMBA KUWA YEYE NDIO MANDELA WA ZANZIBAR...
Jee hawa hawajapigwa Mabomu?
Khitma ya kuwaombea maiti za Mv. Skagit
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein wapili kutoka kulia akijumuika na Viongozi mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.